chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,739
- 46,078
Vumbi haipigwi picture πππTunataka kuona barabara zenye zikotarmacked.. zipo wapi mbona tusizione ππ.?
29. Mafinga > Igawa 140 kilometers28. Kikusya Matema Lot ll 40 kilometers
π£οΈ. 2014 km
Imeandikwa vizuri kwamba wanakagua barabara ambayo bado inajengwa. Au sasa wewe pia huoni unataka tukutafutie miwani?Kwahiyo huoni barabara hapo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
siwezi fanya huo upuzi kisa mnaumwa na wivu., can't waste my time on such idiocy my friend.., wacha nikupe mwelekezo kwa vile mko na haja sana; Just google name of a county and write tarmacked roads and ongoing construction images, uende hadi Turkana na North Eastern ujionee.., ukishindwa kuamini unaingia tu google earth kudhibitisha hilo eneo., kazi rahisi kwako, ila mnajitia hamnazo na upuzi tu. Sasa kazi kwako, nimekupa mwelekeo, dunia ya leo haudanganyi mtu bana, kila kitu kiko wazi mnajifanya tu., π€£πππTunataka kuona barabara zenye ziko tarmacked.. zipo wapi mbona tusizione ππ.?
Sasa chongchung anawaonesha show ili wajue sisi sio size yao, haingii akilini nchi kama Tanzania yenye ukubwa mara mbili ya Kunyaland na yenye roads nchi nzima kila mahali eti izidiwe na Kenya, shida ni kwamba hawa Tanroad huwa wana tatizo la ku update data zao. Kenya kilichokuwa kinawapa jeuri dhidi yetu ni vile vi flyover vya tofali ambavyo kwa sasa tumeshavipiga chini kwa kujenga flyovers za adabu kuliko wao.Hawa wajinga ni waongo kichiz.. mbona jambo jepes tu.. imagine unajinadi una barabara 23,000km afu unashindwa hata kujitetea kwa baadhi ya posts za hizo barabara.. nilitegemea rate ya posts za barabara ya 23,000km itakuwa kubwa kuliyo zetu za 12,000km
Inasemekana 40 km Thika Highway ilihesabiwa kwa number of lanes times the Highway length!Hawa wajinga ni waongo kichiz.. mbona jambo jepes tu.. imagine unajinadi una barabara 23,000km afu unashindwa hata kujitetea kwa baadhi ya posts za hizo barabara.. nilitegemea rate ya posts za barabara ya 23,000km itakuwa kubwa kuliko zetu za 12,000km
30. Mangaka > Nakapanya 70 kilometers29. Mafinga > Igawa 140 kilometers
π£οΈ. 2154 km
Umeshindwa kuweka hata kilometers 2? ππππJioni njema guys.., ukweli unatesa lakini itabakia tu kua vile., enjoy. Bye for now.,
31. Tunduru > Kilimasera 193 kilometers30. Mangaka > Nakapanya 70 kilometers
π£οΈ. 2224 km
32. Nyakanazi >Kibondo 50 kilometers31. Tunduru > Kilimasera 193 kilometers
π£οΈ. 2417 km
33. Kidahwe > Kasulu 50 kilometers32. Nyakanazi >Kibondo 50 kilometers
π£οΈ. 2467 km
Unajielezea sana Bro, watu wanataka kuona barabara πππ kujielezea sana ni ishara ya udhaifusiwezi fanya huo upuzi kisa mnaumwa na wivu., can't waste my time on such idiocy my friend.., wacha nikupe mwelekezo kwa vile mko na haja sana; Just google name of a county and write tarmacked roads and ongoing construction images, uende hadi Turkana na North Eastern ujionee.., ukishindwa kuamini unaingia tu google earth kudhibitisha hilo eneo., kazi rahisi kwako, ila mnajitia hamnazo na upuzi tu. Sasa kazi kwako, nimekupa mwelekeo, dunia ya leo haudanganyi mtu bana, kila kitu kiko wazi mnajifanya tu., π€£πππ
Mpaka Ikulu Garden itapandwa Bangi tu!Huyu wazimu naye leo amepewa cheti cha kuwania urais Kenya. Anaongea tu mambo ya kuhalalisha bangi. Anasema kwamba kwenye serikali yake bangi itapandwe hata kwenye expressway. Anasema kwamba bangi haitakauka kama maua yalivyokauka. π€£ π
34. Dodoma > Bonga 276 kilometers33. Kidahwe > Kasulu 50 kilometers
π£οΈ. 2517 km