Hatutaki vipicha na kiswahili., kile hawa wanasema ndio ukweli., mko hovyo nani π€£ π π π πHatutaki data, tunataka on ground, data zimewekwa hapa za WB pia zimewavua nguo, so mtusibitishie kwa vitendo, mbona chongchung anaonesha kwa vitendo, nyie mnashindwa nn?
15. Maswa > Bariadi 50 kilometers14. Kasinde > Mpanda 105 kilometers
π£οΈ 1382 km
Tulia nikuoneshe show πππ
Ninyi si mumeshindwa kuonesha vumbi zenu, wacha muone lami πππ
Basi kuwa fair kama unataka battle.Naona imeingia yote ππππ
Bora it tallies with what TANROADS say..,14. Kasinde > Mpanda 105 kilometers
π£οΈ 1382 km
Hii pia ni ya serikali yenu πππKilaza atapinga, ni fala., mimi nimeleta link ya Kenya Roads Board, bado hawataki, naleta pia yao ya TANROADS., hii hapa
Mtu asikudanganye., whatever tanroads say is true same na Kenya KNBS na KRB.., mchezo nilimaliza
Unaonyeshwa Barabara kwa ground, we unataka kuona maandishi πππ umechanganyikiwa.? Magari hayaonyeshwi kwenye maandishi mzee magari yanaendeshwa ground, jitetee sasa, do the same (onyesha hizo barabara zenu kwa ground)Kweli umelemewa, sasa hizi ni upuzi gani unapost? ukimaliza post na data from your roads body total paved network, usiogope., wacha niendelee kukup facts naona umekwepa unatafuta pakutokea sasa..,
The best 007 ., usikimbie..,
View attachment 2249306Economic Survey 2022 - Kenya National Bureau of Statistics
Real Gross Domestic Product (GDP) is estimated to have grown by 7.5 per cent in 2021 compared to a contraction of 0.3 per cent in 2020. Most economicwww.knbs.or.ke
View attachment 2249307
View attachment 2249308
Note the highlighted bit., as at June 2021.., π π π
View attachment 2249311
Niliwaambia walete barabara zao ndefu na sisi tulete zetu alafu waone kama watatoboa. Yani Kenya ishindane na Tz kwenye mtandao wa paved roads labda co Tz ya Nyerere, waende wakashindane na Burundi huko co Tz.13. Usesule > Komanga 117 kilometers
[emoji2926] 1277 km
Wacha maneno weka picha za 23k hapa tuone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umeanza kupost barabara za 50 km na ulitukataza sisi kupost chini ya 100km? Nimekuona umepost hata ya 20 km.
16. Chunya > Makongolosi 39 kilometers15. Maswa > Bariadi 50 kilometers
π£οΈ. 1432 km
π π π π π π πNiliwaambia walete barabara zao ndefu na sisi tulete zetu alafu waone kama watatoboa. Yani Kenya ishindane na Tz kwenye mtandao wa paved roads labda co Tz ya Nyerere, waende wakashindane na Burundi huko co Tz.
Ni wajinga. Wanashangilia Mlazy mwenzao kwa jina la chongchung anayepost barabara ambazo bado zipo under construction halafu bado wanataka battle. Chongchung alishakataza Wakenya kupost barabara chini ya 100 km ilhali yeye anapost ya 20 km.Hatutaki vipicha na kiswahili., kile hawa wanasema ndio ukweli., mko hovyo nani π€£ π π π π
Alidhani utaingiza nusu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona imeingia yote [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa wanakula kichapo heavy sana ππππ wao kazi yao ni kuleta link tu tusome maandishiHatutaki data, tunataka on ground, data zimewekwa hapa za WB pia zimewavua nguo, so mtusibitishie kwa vitendo, mbona chongchung anaonesha kwa vitendo, nyie mnashindwa nn?
Sasa ndio tunawaonesha hizo 9k kilometers wanazosema Tanroad [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hatuwezi kujishusha to feed your idiocy, yaani ni post barabara alafu niandike eti 200km., huo ni upuzi, dhibitisha na body husika kama ya ujenzi wa barabara., kwanza body ya tanzania (Tanroads) walisema mko na around 9000km paved, so nyie ni kelele tu mtapiga hapa., mimi nitaamini Tanroads.., ona vile wameweka mambo wazi wazi..,
Kwa mfano in their website click a region., kisha utaona kila kitu, from paved to others, mfano nime click Arusha
View attachment 2249341
Matokeo from pdf.., paved ni hiyo black., ona vile Arusha one of Tanzania major town imejaa vumbi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 2249343
17. Urambo > Kaliua 28 kilometers16. Chunya > Makongolosi 39 kilometers
π£οΈ. 1472 km
Kwanini msituonyeshe hizo barabara mnazojipiganazo kifua kwamba mmejenga.? Eti broh? Ziko wapi hizo barabara.?Ni wajinga. Wanashangilia Mlazy mwenzao kwa jina la chongchung anayepost barabara ambazo bado zipo under construction halafu bado wanataka battle. Chongchung alishakataza Wakenya kupost barabara chini ya 100 km ilhali yeye anapost ya 20 km.
18. Waso > Sale 49 kilometers17. Urambo > Kaliua 28 kilometers
π£οΈ. 1490 km
Mbona niandike kwa mate na wino upo? si ni upumbavu huo? π€£ π π π π . TANROADS wamefanya kazi rahisi mimi sihitaji sarakasi zenu, mnatafuta njia ya kukwepa ukweli nawajua vizuri sanaπππ.,I just click link ya TANROADS kisha na pick a region inanionyesha road network paved na vingine., ona mifano (click link and pick a region)Unaonyeshwa Barabara kwa ground, we unataka kuona maandishi πππ umechanganyikiwa.? Magari hayaonyeshwi kwenye maandishi mzee magari yanaendeshwa ground, jitetee sasa, do the same (onyesha hizo barabara zenu kwa ground)
Uhuru ame claim kwamba nyie jamaa mlitengeneza 10k km za barabara in 9 years, tunataka kuona angalau uzinduzi wa hizo roads (japo barabara ya km 100 tu), becoz u already have them, kwanini unaomba kupost roads zenye ziko under construction.? πππBasi kuwa fair kama unataka battle.
1. Ruhusu Wakenya pia wapost chini ya 100 km kama wewe unavyofanya.
2. Ruhusu Wakenya wapost picha ambazo sio za uzinduzi kama wewe unavyofanya.
3. Ruhusu Wakenya pia wapost barabara ambazo hazijakamilika kama wewe unavyofanya.
Dawa yako hiyoππThika Road, such goodies huwa zinakuumiza sana π π π π π π π πSasa ndio tunawaonesha hizo 9k kilometers wanazosema Tanroad [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]