Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatutaki makaratasi, haya makaratasi mliyatumia kuongopa kwa miaka mingi, kwa ss tunataka vitendo. Ongea kwa vitendo, weka barabara tuione kama sisi tunavyofanya ili tukate mzizi wa fitina.
 
Usimjibu mkuu, huyo anaona haya anataka akupoteze lengo lako, tumewaomba nao waongee kwa vitendo kama tunavyofanya sisi na sio kuongea na makaratasi.
Hawezi kufanikiwa kama ndio lengo lake, Nimewaambia nitakula nao sahani moja kwenye hili ๐Ÿ˜Ž
 
Unatamani ingekua Tanzania, utaondoka kabla haujaona such., ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ sio makosa yetu usituchukue, ni Kibaki soja., laumu CCM kwa kuwaweka nyuma hivyo eti Kibaha ndio super highway ya Tanzania๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ

The best 007 unajaribu kupotosha na picha za kitambo lakini wapi., dunia ya leo uongo haina maisha.., unatamani iwe ugly but pole sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ








 
chongchung atawaua, kwa ss uzi umekuwa mchungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu hawa Wakunya waishukuru sana JF
 
Hatutaki makaratasi, haya makaratasi mliyatumia kuongopa kwa miaka mingi, kwa ss tunataka vitendo. Ongea kwa vitendo, weka barabara tuione kama sisi tunavyofanya ili tukate mzizi wa fitina.
Hatuwezi kujishusha to feed your idiocy, yaani ni post barabara alafu niandike eti 200km., huo ni upuzi, dhibitisha na body husika kama ya ujenzi wa barabara., kwanza body ya tanzania (Tanroads) walisema mko na around 9000km paved, so nyie ni kelele tu mtapiga hapa., mimi nitaamini Tanroads.., ona vile wameweka mambo wazi wazi..,
Kwa mfano in their website click a region., kisha utaona kila kitu, from paved to others, mfano nime click Arusha

Matokeo from pdf.., paved ni hiyo black., ona vile Arusha one of Tanzania major town imejaa vumbi ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Kwahiyo distance ya ukingo wa Bahari ya Hindi mpaka Gambia ni ndogo ukilinganisha na distance ya Dar mpaka Chato? Kaka hapa umechanganya madesa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ