Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

He didn't only lie on cameras but on papers as well 😅😅😅😅

Numbers never lie though

 
Itakuaje tembo mweupe wakati Wana taka kuondoa dominance ya Tzn ku cut hiyo 40% import kutoka kwetu?

Harafu Serikali iache kuchekea Wakenya kwa kuzuia na ku charge Kodi kubwa kwa kisingizio cha kuingiza LPG kutoka Uarabuni wakati kampuni zetu zinazalisha hapa hapa Tanzania.
 
Hizo barabara zimezinduliwa lini? Barabara kilometers 11k hakuna barabara hata moja yenye urefu wa kilometers 500 ikiozinduliwa 😳 only fools will buy this
 
He didn't only lie on cameras but on papers as well 😅😅😅😅

Numbers never lie though

View attachment 2248813
So wewe kutoka Kwa shimo yako huko Tanzania umegundua kitu hata Kenyan government officials or media haijagundua hehe okay wise man... And there is a point you missing most of the roads are for the second term which started in 2018 meaning most roads started completing from 2019, 2020 and 2021 even as we speak several roads are not done yet so Rudisha hicho kijikaratasi chako fake penye umetoa ufwate facts uwache kujiaimbiasha
 
Huyu alikua a naongelea barabara gani hapa? 😝😝😝😝
 
There you go again with your old data... Hadi Sasa nakuinea huruma you so desperate to prove something that's not there lemmie update you with the new north estern roads that were completed last year, this the new look of the roads so please don't run around bringing old data to show how desperate you are to prove useless things... North estern roads were paved that's why there is too many kms Hadi zinawashtua mnababaika Kila Mahali kama kondoo zimepoteza mfugaji
 

Attachments

  • images - 2022-06-03T091554.461.jpeg
    18.1 KB · Views: 77
  • images - 2022-06-03T091704.426.jpeg
    8.2 KB · Views: 36
Hizo barabara zimezinduliwa lini? Barabara kilometers 11k hakuna barabara hata moja yenye urefu wa kilometers 500 ikiozinduliwa 😳 only fools will buy this
Isiolo-Moyale road ni 525 kilometres na ilizinduliwa wakati wa utawala wa Uhuru Kenyatta.
 
Usiniletee pictures za bitumen mzee 😝😝 kwani nani asiejua bitumen inafananaje? Leta inaugural events hizo kilometers zikizinduliwa, nataka evidence uhuru akikata utepe wa barabara za lami zenye urefu wa kilometers 11k sasa hivi 😆😆😆
 
Huyu alikua a naongelea barabara gani hapa? 😝😝😝😝
View attachment 2248832
I think English is the problem here read again it says embarked on the competition meaning they weren't complete but they were either on process or in plan now those are the once that have completed in 2022 those are more than 5 years since that arrival was written and Uhuru said most of the roads were done in the second term... Nini ndo hauelewi hapo??? Niletee artical ya 2022 ama 2021 ndo ukue una make sense but hizo vitu unarokota huku unakimbiza humu Ni ujinga tu hausaidii roads were built in the last 4 years first get that in your mind then now Sasa anzia hapo
 
Leta articles zenye hiyo habari sasa, leo tunahesabu kilometer 1 baada ya nyingine mpaka tumalize kilometers 11k za Uhuru 🤣🤣🤣🤣
Okay seat back and watch I bring to you... For the major roads, but ofcos zile za inter counties governors ndo Wana launch si uhuru we are a devolved country
 
l

It's true hatuwezi kulinganisha Kenya na Tanzania kwenye suala la maji kwa sababu Kenya is at 59% accessibility rate wakati wewe hata data ya nchi yako ndio huyajui.
Huu ujinga nani huwa anawajaza? 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220525-082552.png
    99 KB · Views: 30
Sitaki Wikipedia, nataka kutoka kwenye local newspapers, Rais ni mtu mkubwa, hawezi kwenda kuzindua kilometers 11k usiku usiku bila kuonekana 🤣🤣🤣🤣
Tuliza matako nakuletea sahizi Wacha kuruka Ruka Kila Mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…