Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hahah natamani mawe yanayorushwa kwenye huu uzi yangewafikia angalau robo tu ya wakunya. Wangeelewa nafasi ya Tanzania na uelewa wa watu wake dhidi ya taifa lao la propaganda dhaifu.

Na Kwa ndugu zangu wabongo, ambao wengi hatuchangii sana na pia hatuchangii kabisa uzi huu. Tuelewe tu hawa nyang'au ni watu dhaifu na watu duni sana.. Ni mdomo mdomo mrefu tu.. Ila uhalisia ni watu wa hovyo.

Kwa hiyo, tuishi nao Kwa akili, tukijua ni watu wa kunyanyua mabega ila wadhaifu. Ukarimu wetu, nidhamu na upole uendelee.. Ila Hawa wakunya wasiuchukulie kama fimbo ya kujiona wako juu yetu. Ni masikini wa mwisho na wahovyo kabisa hawa nyang'au.

Waelewa kama dyfre na Tony254 wanajua Kwa uzuri kabisa
 
Kumbe uhuru anajumuisha barabara za vumbi kwenye izo 10k kilometres alizojenga 😅😅
 
Eti 10,000 km za paved roads 😎.. kumbe hadi za changarawe zimo humohumo
 
If kagame is not carefully the envisaged partnership with Quatar airways will go to dogs!
 
Port ya kibabe sana hii Zambia Malawi na Congo waanze kupitisha mizigo yao mingi huko sasa.
Nadhani mpaka 2030, mama atakuwa ameanza mradi wa reli ya Mtwara port-Mbamba Bay ila huwa najiuliza kama hii reli itajengwa itakuwa jambo zuri kama itakuwa Cape Gauge Railway maana ndo njia bora kuhudumia Zambia, Congo na Malawi effectively na efficiently!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…