Educate that fool na hatuja hesabu barabara ziko kwa budget za county governments kwa hio pesa.Barabara zingine ni rural roads na bei iko chini kushinda ya urban road na highways. Sasa wazimu kama wewe ndio hajui kwamba barabara hugawanywa in different classes. Class A,B,C,D, na E. Class A being the most expensive na E being the cheapest.
Wakunya njooni muone flash -butt welding in action achaneni na fish plates. [emoji16]
HDI and GDP indicators are not theoretical, they are practical. Which Kenyans are living in bad and humiliating lives? Are you referring to the people in the north facing starvation? Well, UN bodies know about them and everytime they compile their data, these people are part of consideration. At the end of the day, and after doing everything, their data still shows we are way better than you.Don't run away from the reality, apart from theoretical(academic rankings), like GDP, HDI and others, majority of Kenyans are living in very bad and humiliating lives.
South Afrika scores very high in Africa on HDI and per Capita, but only 15% of the population owns almost 80% of GDP, but theoretically/academically shows that they have high HDI and per Capita, this is exactly what happens in Kenya.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sio mkenyaWeka ushahidi Kama aliachiwa, vipi kuhusu Miguna Miguna?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Reli inaanza port
Hawa wapika chang'aa huwa wanatia chupi za wanawake, vitambaa vya hedhi na methanol ndani ya mitungi ya chang'aa ili kukoleza mchuzi, ili mchuzi wa chang'aa uwe rojo rojo.Sijapata kuona nchi ya ajabu kama hii 🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2247913
Dodoma SGR station, wakitengeneza kama hii tutakuwa tumeuwa.View attachment 2248063
Mmetushinda kwenye kuzaliana tuu.Kwa hivyo leo hii Mtanzania anakubali kwamba sehemu ndogo ya Kenya ndio habitable? Sasa mbona huwa tukisema kwamba Wakenya wanaishi katika 25% ya ardhi yao huwa mnapinga? Hususan hawa watu coodip1 Geza Ulole chongchung
Kwa hivyo kama hatutumii 75% ya ardhi yetu vipi tumewashinda kwenye kila kitu? Hamujisikii aibu kushindwa na watu wasiotumia 75% ya ardhi yao kiuchumi?
...using your own thinking and forced opinion 😂 😂 😂 and you think you making sense!We will use the same UN reports to analyse each item separately[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sijaiona. Hebu niquote if you can@simon ameshapost inamaana haufuatilii
Hili ndilo swali la msingi, Hata mimi sijui broMbona hamjamaliza sgr ya deni?
Hilo deni mkianza kulipa litakua limeongezeka kwa kiasi kikubwa sababu ya mradi kuchelewaHili ndilo swali la msingi, Hata mimi sijui bro
Ndio maana tunawaambia hawa vijana waache mwembwe Kenya bado ni nchi ya dunia ya tatu kama nchi nyingine tu za Africa. Hadi leo bado kuna usafiri wa kutumia Probox kama 'bus'Kwa ground 🤣🤣🤣🤣
Sanasana mradi uliochelewa ni phase1 ambao uko financed na GoT ,izo phase zingine naona hazijadelayHilo deni mkianza kulipa litakua limeongezeka kwa kiasi kikubwa sababu ya mradi kuchelewa
Iko nchi hii dunia yenye watu wanaopenda kupigana kende kushinda Tanzania? Hio ndio national sport yenu na ndio maana mnafeli kwenye michezo zote isipokuwa hilo. Halafu eti mnataka kuhost Afcon na jinsi taifa stars huwa mbovu kwenye mpira.Mmetushinda kwenye kuzaliana tuu.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mmetushinda kwenye kuzaliana tuu.
Na malori pia kama Bus 🤣Ndio maana tunawaambia hawa vijana waache mwembwe Kenya bado ni nchi ya dunia ya tatu kama nchi nyingine tu za Africa. Hadi leo bado kuna usafiri wa kutumia Probox kama 'bus'
Mtazaaje mkiingiliana kwa mpalange?Mmetushinda kwenye kuzaliana tuu.
Ongea kisomi, sema kuna gravel, moram and bitumen, Uhuru kachanganya zote kwenye hiyo 10k zake and majority ni gravel, simple 😎Barabara zingine ni rural roads na bei iko chini kushinda ya urban road na highways. Sasa wazimu kama wewe ndio hajui kwamba barabara hugawanywa in different classes. Class A,B,C,D, na E. Class A being the most expensive na E being the cheapest.