Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanangu itunze hii picha vizuri sana, ipo Siku itafaa
Wakati mnaitunza mtunze na kumbukumbu kwamba hapo pameshabadilika tayari kuna BRT lanes [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwahiyo Zanzibar yenye 5 stars nyingi kuliko Nairobi, bigger international airport than Mombasa unaiacha wapi?
 
Embu nipe point to point moja tuu ya barabara ya lami yenye urefu wa kilometers 1500. Kama hakuna utaeleza hizo kilometers 23k mmezitoa wapi?
 
Unajisifia kuuza vegetables from nchi yenye jangwa Israel [emoji3]
 
Unajisifia kuuza vegetables from nchi yenye jangwa Israel [emoji3]
I know it must have pained you. mkifika hiyo level njoo kwenye meza ya mazungumzo muache kutupostia picha za vibanda
 
Dar kila corner ni sewage, CBD, uswazi, nje ya offisi ya RC. Kila mahali ni raw sewage. 🤣 🤣 🤣


We jamaa kilaza kichizi. Daa, unajua kuwa hii ndiyo the same road iliyo fumuliwa a year ago. Ndiyo picha ya barabara ile ile. Tena hii picha ni ya 2020. Barabara ilifumuliwa 2021 kitu kama mwezi wa 3 au 4 hivi.

Naona unaangaika kichizi kutafuta pa kutokea. 😂 😂 😂 😂 😂 . Roho ina kuuma vibaya mno. Aisee. These haters ni next level...

 
Tazama reli yao ya diesel ina speed ya kobe lakini inaua wanyama kupita maelezo, sasa wakiwekewa reli ya umeme itaua Wakenya wengi sana kwasababu ni very careless people on planet. Ona gari moshi linavyopunguza wanyama wa Mungu, yani Kenya hakuna aliye salama kuanzia binadamu mpaka wanyama [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Raw Sewage kila pahali hadi kwa beach.
There's a report I read a few years back that Dar cbd ni sehemu chache sana ziko connected to sewerage system. Seeing this picture, it's hard not to believe such stories
 
Barabara haina hata kerbs appron yenyewe dongo tupu halafu mwamba kalamba nguzo zote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…