Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,153
- 107,721
Lol. Little information as usual.
84 km inayojengwa sasa hivi ni extension ya Nairobi - Thika - Kenol superhighway/dual carriage.
The total uninterrupted dual carriage will be over 150km in length.
Alafu hio yenu ya Dodoma is just a ring road surrounding the town.
And its about the same length as Nairobi's ring road network (better known as the bypasses).
The Nairobi Western, Northern, Eastern, and Southern bypasses are all complete, and they form the same type of ring like your proposed Dodoma road.
View attachment 2247061
Western bypass is the last to be completed, and it should be ready in a couple of weeks.
Hivi viko Nairobi kwenye malls zenu, sisi tumeonyesha matunda nje ya majiji,hapo ni takribani 1300 km kutoka dar, vipi huko Marsabit ambako kukame unaweza kukutana na vibanda kama hivi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Desperation of the highest order! Hata hamna haya mnatuwekea picha za vibanda as if haziko Kenya. Look bongolala, wakati wengine wanaenda na mwendo wa dunia, nyinyi bado mpo stone age and you are even shouting about it [emoji23]
Huku kwetu we are transitioning from selling our groceries on roadside vibandas to modern grocery stores.
This is Zucchini, a grocery store that sells nothing but green groceries alone and it has several branches in the city. Tukisema tuko mbele yenu this is what we mean
View attachment 2247035View attachment 2247038View attachment 2247040View attachment 2247041View attachment 2247042View attachment 2247043View attachment 2247044View attachment 2247046View attachment 2247047View attachment 2247048View attachment 2247052
Dodoma city is way bigger than Nairobi!
That's twice the number of paved roads in Tz na change ibaki.Inasemekana Kenya ina 23,000 kilometres of paved roads. Hii ni kulingana na serikali ya Kenya. Ujumbe huu umetolewa leo wakati wa sherehe la madaraka. Ujumbe huo unasema kwamba 2013 wakati rais Uhuru anashika usukani wa nchi, Kenya ilikuwa na 13,000 km of paved roads. Uhuru amejenga 10,400 km of paved roads katika miaka 9 ya uongozi wake. Kwa hivyo kwa ujumla Kenya ina zaidi ya 23,000 km of paved roads kulingana na serikali ya Kenya. Teargas kweli Uhuru hacheki na kazi.
Cc tuusan
Cc
Una jaribu kujiliwaza na failed attempt [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanangu itunze hii picha vizuri sana, ipo Siku itafaa
Msitake tufanane, hatupo sawa... Hii barabara yote ipo under construction, BRT lanes. Ime fumuliwa yote.
Tanzania hatuna uchafu wa Kenya aisee...
View attachment 2247068View attachment 2247069View attachment 2247070View attachment 2247071
Karudia sasa hivi mara ya tatu as he is concluding the speech.., iko wazi watu wajionee, plus expressway🔥🔥🔥Uhuru amerudia tena kwa mara ya pili kwamba amejenga 10,000 km of tarmac roads. Hii ndio itakuwa legacy yake.
Dodoma ni ka Estate, Eastlands is even far bigger than Dodoma and Mwanza CBDs combined 😂 😂 😂 😂I think you mean the designated borders for Dodoma are bigger than Nairobi.
In reality, the built up Dodoma is the size of Roysambu
You talked as if Kenya hatuna matunda. Did you forget that Kenya is the leading exporter of fresh fruits and vegetables to the European Union? Kwani hayo matunda yanaanguka kutoka mbinguni? Vibanda vya kuuza matunda Kama zile uchafu ulizopost hapa ziko kila mji hapa Kenya. But because you made a great deal out of a silly thing, I just wanted to remind you that we are miles ahead of you. Na picha nilizoweka sio za mall. That's a grocery store, kitu ambacho ni ndoto huko kwenu. Na bado kuna nyingine inaitwa Naivas Food MarketHivi viko Nairobi kwenye malls zenu, sisi tumeonyesha matunda nje ya majiji,hapo ni takribani 1300 km kutoka dar, vipi huko Marsabit ambako kukame unaweza kukutana na vibanda kama hivi?
Ameirudia mara nyingi. Hio ndio itakuwa legacy yake. Kujenga 10,000 km of tarmac roads ndani ya 10 years sio mchezoKarudia sasa hivi mara ya tatu as he is concluding the speech.., iko wazi watu wajionee, plus expressway🔥🔥🔥
Wacha kelele ya chura.Utaki uambiwe ukweli? Mmeleta hoja zenu za kuokoteza, mmejibiwa.
Huna lingine nyamaza...kafichie aibu yako kwa slam huko...
Bongolalas hawajafikisha hata 50%. 🤣 🤣 🤣 🤣 Watazidii kuisoma number.Uhuru amesema kwamba internet penetration rate ya Kenya in 2022 ni 93% na mobile phone penetration rate ni zaidi ya 100%.
"we have connected many homes to electricity than any other country in the continent"!., Uhuru Mwigai wa Kenyatta.Uhuru amesema kwamba Kenya iliexport avocado ya ksh 1 billion in 2013 lakini 2021 Kenya iliexport avocado ya ksh 15 billion.
Yes the rate of electricity connection of Kenya has risen at the highest pace in Africa in the last 9 years. Bado hatujafika 100% but tumetoka sijui 35% hadi saa hii tuko 85%. That rate of electricity connection in the last 10 years is crazy. Other African countries have 100% electricity connection rate but waliconnect pole pole, sisi tumeipiga mbio sana."we have connected many homes to electricity than any other country in the continent"!., Uhuru Mwigai wa Kenyatta.