Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bado unaongea tu kishabiki kama alibyoongea yule kilaza mwenzako wa kwanza. Nishakubali Mombasa ni ovyo wala haiitaji kuitwa city, Sasa nataka uniambie maendeleo ambayo ipo Mwanza (ambayo ndio inafaa hadhi ya jiji) na hakipo Mombasa. Hii maneno mengi bila evidence haitakusaidia chochote
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Tushuke ground tupime individual development level .? Au utaleta story za bandari na interchange kupima maendeleo ya wakazi wa mombasa.?
Shuka kama una kende. Nakusubiri
 
Hapo sio Tanzania maduka yetu hatuandiki kwa kiingereza. Sijui hair saloon, half cut narudia tena hatuna lugha hizo kwenye maduka yetu
Ni kweli kabisa maduka yenu hamuandiki kwa kiingereza. Hizi hapa naona zimeandikwa kwa kinyamwezi.

At this rate, Tanzanians you'll even deny your own existence!
 
Hizi ni dalili za kuzidiwa. Hakuna picha hata moja nimepost ya highway. Picha zote nimepost ni za Mombasa cbd and this is one of them. Is this a highway?
View attachment 2246295
Ama maana ya highway ndio hajui?
hebu nitajie hio barabara inaitwaje ?? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ hio ni main road and not street usitafute chaka budaa kama umelewa sema tukuache

so ikiwa CBD ndio inakua sio main road au??

siku utapata streets za level ya mwanza nitag nifunge acc๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ww huna kitu utanidanganya kuhusu huo mji wa ovyo kbisa unaitwa mombasa
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Kwa lile tuta la Kituo cha mwendokasi Bongo Kama lorry litagonga kwa namna hiyo abiria watakua safe. Ila kwa hapo ni hatari sana. Kama kungekua na abiria na vioo ndio vingekua visu na kukata abiria wanaosubiri humo ndani.
Umesahau vioo vya gari ni shutterproof
 
Hizi ni dalili za kuzidiwa. Hakuna picha hata moja nimepost ya highway. Picha zote nimepost ni za Mombasa cbd and this is one of them. Is this a highway?
View attachment 2246295
Ama maana ya highway ndio hajui?
Uzuri nipo Mwanza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ utatataga ๐Ÿ‘‡ yani unapost walk ways.? Ulifkir Mwanza hakuna .? Mwanza is beautiful and clean (The tanzania's cleanest city) nakuwekea picha bila filter wala nini.. hiyo mombasa ni uchafu tu mbele ya Mwanza walk ways Mwanza zipo hadi mitaani uko
 
Nashangazwa sana na hawa wakenya aisee ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ mji wa mombasa ni wa watu lazy na .askini kwa kiwango kikubwa, wanataka walinganishe na Mwanza ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Labda kwa interchange na bandari tu watashinda hiyo battle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ