Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanza, maisha ni yale yale ya Dar.., these two cities must be operating under a curse or something..., sura ya ufukara tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Lami iko tu around town., makazi ya watu balaa., picha ya taifa fukara., alafu Kilaza flani anataka kulinganisha hii na Mombasa, level ya Dar., πŸ˜‚ πŸ˜‚



 
By the way how is your BRT going?😁
 
BRT Phase II


How i wish hii underpass ingepanuliwa!! huyu mkandarasi sijui walimtoa wapi??
View attachment 2245464

Simon what's ur take!
Kama unavyosikia sikia..huyo jamaa kaishiwa hela.. alitaka apige parefu sasa yamemkuta yalimkuta kaambiwa arudie kazi.. mpk akaomba apewe na BRT 3 ili afidie alipopata hasara/faida kiduchu

Hapo kwenye underpass ni daraja la treni (sijui treni gan) lkn ipo barabara ya kuelekea mbagala.. so hawakuweza kuiongezea width yake sababu wamelikuta..hawajajenga wao

Afu huyu jamaa asiondoke bila kutuwekea pavement blocks pande zote za barabara kama ilivyo BRT 1

Afu mbona structure za stations zimekaa kama frames za kighorofa za biashara πŸ˜„
 
Who asked you about having job or not? I'm sure most people if not all in this forum has a job. So please, just shut your mouth and focus on what you have been asked.
Kuwa na nidhamu! Is this how you address your peers? Utapata laana!
 
Kwa lile tuta la Kituo cha mwendokasi Bongo Kama lorry litagonga kwa namna hiyo abiria watakua safe. Ila kwa hapo ni hatari sana. Kama kungekua na abiria na vioo ndio vingekua visu na kukata abiria wanaosubiri humo ndani.
Nikiskia mmoja akijigamba Eti brt ya Nairobi ita rival ya seul Korea 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Tuendelee kuwa enjoy.
 
Can you join me in a maths class tujue pesa kila basi inatengeneza per trip? I want to know if the system is running at a loss or profit .
🀣🀣🀣🀣🀣ukunya kazi kweli kweli 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Kampuni ilitoka Kunyaland, ikaja na ukora wa Nairobi kulipua kazi! kuna umuhimu kuepuka makampuni ya Kichina yanayotokea Kunyaland!
 
Kisumu residential zimepangika kwa wingi, yaani sehemu kubwa sana ukilinganisha na Mwanza.., google earth msema ukweli.., Mwanza ni town centre ndio inaonekana kupangika from aerial view.., Tanzania ijengwe upya., πŸ˜‚ πŸ˜‚

Makazi ya watu Kisumu dala





 
Reli ya tazara iyo
 
mombasani twasija kwa raha zetu

 
Hizi ndio slums za Mwanza? 🀣🀣🀣🀣

Bangladesh ya Mombasa unaijua? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

 
Weka google earth tuitazame in comparison na jiji lote la Mombasa, mko hovyo., utatafuta vipande vya mapicha tu kujikomboa ama kujiliwaza., Kenya sio Tanzania ilio tapakaa ufukara kote kote, ile ya wazi sana., haifichiki., google earth link ya Mombasa hii hapa., nataka unionyeshe hiyo bangladesh iko sehemu gani, na ujionee mji.,kama utafanana na Mwanza ama Dar zilizo jaa standards za ufukara..,

haukwepi ukweli ata ukileta Kibera mara elfu.., Kenya kwa ukubwa na upana umejengeka kwa mpangilio., slums ni sehemu sehemu tu, lazima utafute sana, sio kama nyie mmejaza utopolo kila sehemu unaonekana mara moja in a first view πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ nimetafuta bangladesh kwa google earth sipaoni vizuri!!!.., nyie bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…