naona mnatumia nguvu kubwa kutaka kuifanya nairobi ionekane ni kama amsterdam...smh.[emoji23] [emoji23] [emoji23]it doesn't come as a surprise that Dar and Mombasa city have almost the same GDP and dollar millionaires. I know Tanzanians will oppose this bitter truth
siasa za africa kila nchi ni majanga.........vipi wale walio muua msando,walishapatikana?.So Tanzania has political heat and assassinations. ...kadoda napita tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
kukojoa kwa gate ya statehouse sio jambo la sifa,bali ni ujinga.heri Kenya unaweza kojoa hata kwa gate ya state house na husumbuliwi lol.......and kadoda has kibiti area calmed down.?
ni kwa sababu za kiusalama.hivi wamemleta Tundu huku Nairobi...hawana hospitali kule Dar? lol!
what a long thread.shows a lot of rivalry.but where is Kigali?
Mbona Magufuli sasa aanze vitu kama hivi mapema? Aaah! Mbona viongozi wa Afrika huwa hivi jamani?? Mimi hata sielewi mbona nikawa Mwafrika, aib!!ni kwa sababu za kiusalama.
lissu ni mwanasiasa kinara wa upinzani katika kukosoa utawala wa magufuli.
hata tukio lililomtokea,linahusushwa na serikali.
Huamini. Estates kama hizi hapa hazihesabiki, za jengwa usiku kucha,Wacha jokes ww, mombasa si kama tanga tu kuna nn ukitoa bandari.....Arusha tu japo ndogo inaiweza mombasa yenu Dar ipambane na Nairobi sio vitu vya kijinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Huamini. Estates kama hizi hapa hazihesabiki, za jengwa usiku kucha,
Barabara za jengwa. Three Level Interchanges kadhaa na Madaraja matano kwenye bahari hindi.
Magorofa ya zaidi ya floor 21 kama kumi na mbili sasa hivi za jengwa. we niambie miaka miwili hivi Mombasa itakua wapi?
Bila ushabiki wowote
Mbona mnaleta politicians wenu Nairobi kutibiwa? Kwani hamna facilities Dar?kukojoa kwa gate ya statehouse sio jambo la sifa,bali ni ujinga.
Hahahahahahaha. Ati Mombasa nikama Tanga. Man thats an insult to our middle income countryAti tanga town
Hii si ni village jameni....smh.hizi "town " za tz are so funny vi amazing
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hii nii Tanga??? 😱😱😱😱 NimeendaAti tanga town
Hii si ni village jameni....smh.hizi "town " za tz are so funny vi amazing
Sent using Jamii Forums mobile app
Arusha naijua nimefika huko mara kadha! Kisii kubwa kwa hiyowanapima arusha na Mombasa lol..........hawa wasee wana ugonjwa ya akili bana......Arusha tunaipea narok town
Lol.....aki this looks depressing.Tanga ni village man. Msiukosee mji wa Mombasa heshima tafadhaliView attachment 583779 View attachment 583780 View attachment 583781