Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tafuta report ya Kenya bureau of statistics ya ilio chapishwa 2022 ujisomee road network so far.., over 20,000.., Tanzania bado., ila hapa wanasema percentage ya growth rate in Tz na Lesotho is leading in Africa, sio eti mko na more km than any other country.., kuna kilaza naona amekimbia ku quote na hana uelewa..,
 
Majengo ya Kenya hayataacha kuanguka na kuua maelfu ya wakunya mana wana education system mbovu inayozalisha ma engineer wabovu [emoji116][emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa raisi wa nchi anasema wamejenga km 14000 tu, wale vizuuu wakutuambia wamejenga 20000 wapooo[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1369][emoji1369]
 
Kwa heshma na taadhima naomba nku ignore
How can u survive duniani kwa akili hiyo?
Ukishaona mtu anatumia matusi ku-argue na wewe jua kuwa uwezo wake wa kufikiri umeishia hapo, hutakiwi kuendelea naye maana na wewe ukijibu kwa matusi utaonekana umepungukiwa hekima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…