joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Chizi Hilo, these are brand new fighter jets, which have never been in any war.No I am not aware of that. Do you have evidence?
[emoji23][emoji23] who even buys Chinese warplanes
Those who were captured taking things in Westgate were AP and not KDF.Are not these same cowards who stole chocolates from Westgate Mall?
Are not these toy soldiers who sell charcoal in Somalia?
Why do you hate truth?Chizi Hilo, these are brand new fighter jets, which have never been in any war.
Ameshindwa kupambana Sasa anajaribu kutafuta njia ya kukimbia[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwa sababu Mig-21 zenu hazifanyi kazi. Zimekuwa retired. Hapa tunacompare tu ndege ambazo bado zinafanya kazi.Sasa Kama zimenunulia in 70s, do you want to compare with our J-7 bought in 2013, why can't we compare with our MIG-21 of the same years?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Only four are operational.
Hata Leo hii tukipiga picha ya MIG-21 kule Mwanza, zinaonekana hivi, haimaanishi hizo ndege zinafanya kazi.Picha ili-appear mwaka wa 2015 katika huu uzi.
Kenya Defence Forces (KDF) - Page 26
mchoraji wrote:Balozi wrote: for the sake of discussion analysis and that why we congregate here at the TEA forum, i would like to be correct if i am wrong on teastafrican.forumotion.com
Mig-21 zenu hazipo on standby. Zimekuwa retired. Wacha kudanganya watu.Hata Leo hii tukipiga picha ya MIG-21 kule Mwanza, zinaonekana hivi, haimaanishi hizo ndege zinafanya kazi.
Lazima mjue kwamba, Tanzania na Uganda zimenunua ndege mpya miaka ya karibuni 3rd generation fighter jets, Kenya bado hamjanunua ndege mpya, ni zilezile za 70s, secand generation fighter jets.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ni kama hajui the meaning of replaced.Mig-21 zenu hazipo on standby. Zimekuwa retired. Wacha kudanganya watu.
Mwanza na Dar, ndio Airbases wakati Ngerengere ndio Makao makuu(Command) ya anga.Hapana Ngerengere ni kamandi kuu ya Anga!
Magufuli azindua uwanja wa ndegevita Tanzania
7 Machi 2017
CHANZO CHA PICHA,IKULU YA TANZANIA
Maelezo ya picha,
Rais Magufuli akifyatua risasi hewani kuashiria ufunguzi wa uwanja wa ndege vita nchini Tanzania
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, amezindua uwanja wa kisasa wa ndegevita wa Ngerengere uliofanyiwa ukarabati baada ya miundombinu ya uwanja huo kuharibika.
Katika hotuba yake Rais Magufuli amelipongeza Jeshi la Tanzania (JWTZ) kwa kazi kubwa linayofanya na pia akamshukuru Rais wa China Xi Jinping na Serikali yake kwa msaada mkubwa iliyoutoa kujenga uwanja huo.
"Mhe. Balozi Lu Youqing naomba unipelekee shukrani zangu za dhati kwa Rais wa China kwa kutoa msaada huu mkubwa wa kujenga uwanja wa ndegevita wa Ngerengere, najua China imetusaidia kujenga Reli ya TAZARA, Kiwanda cha Urafiki na Uwanja wa Mpira, hii yote inathibitisha uhusiano wetu mzuri, urafiki na undugu"
Balozi wa China nchini Tanzania Lu Youqing amesema kujengwa kwa uwanja huo kumeimarisha zaidi uhusiano na ushirikiano kati ya Tanzania na China na amempongeza Magufuli kwa kuendeleza uhusiano huo.
Mbali na kuzindua uwanja huo Magufuli alishuhudia maonesho ya ndege za kivita zilizorushwa kwa mbinu mbalimbali za kivita, ili kutoa heshima
CHANZO CHA PICHA,IKULU YA TANZANIA
Maelezo ya picha,
Rais Magufuli azindua uwanja wa ndege vita Ngerengere
Rais Magufuli akihutubia wakati wa ufunguzi wa uwanja wa ndegevita Ngerengere.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Salvatory Mabeyo amesema ukarabati wa uwanja huo ulioanza tarehe 15 Julai, 2013 umegharimu Tanzania bilioni 137 na milioni 631 ikiwa ni ufadhili wa Serikali ya China na umehusisha kujenga upya njia ya kuruka na kutua ndege yenye urefu wa mita 3,000 upana wa mita 45 na unene wa sentimeta 45.
Jenerali Mabeyo ameongeza kuwa uwanja huo ni miongoni mwa viwanja bora zaidi duniani kwa sasa na una uwezo wa kutumiwa na ndege za aina zote zilizo chini ya Boeing 777 huku akibainisha kuwa pamoja na ndege za kivita pia unaweza kutumiwa na ndege za kawaida za abiria kwa dharula.
Aidha, Magufuli ameahidi kujenga barabara ya lami ya kuunganisha kamandi ya Jeshi la anga ya Ngerengere na barabara kuu ya Dar es Salaam - Morogoro.
Magufuli azindua uwanja wa ndegevita Tanzania - BBC News Swahili
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, amezindua uwanja wa kisasa wa ndegevita wa Ngerengere uliofanyiwa ukarabati baada ya miundombinu ya uwanja huo kuharibika.www.bbc.com
Kaka unaidharau Ngerengere, ni kamandi yenye airbase modern kuliko zote ukanda huu! Ingekuwa civillian airport ingekuwa grade C yaani international airport.Mwanza na Dar, ndio Airbases wakati Ngerengere ndio Makao makuu(Command) ya anga.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hujui kitu kuhusu hili eneo, Baki katika eneo lako la mascara wacha kutupitezea ATPs zetu.Kenya is operating independently and that's why most of the time you will KDF using its own hardware in Somalia na sio za Amison. Hata drones tunatumia huko Iko na flags za Kenya.
These are KDF in Somalia , if they were under Amison you could have seen any green item in them. But unfortunately for you, they don't have it.
View attachment 2243066View attachment 2243068View attachment 2243074View attachment 2243076
Kuna siku Niliandika humu, Magu angekuwa hai angenunua mafuta ya urusiNdicho nlichokuwa namaanisha, sema niliona kumtaja sana Magu hapa, ntaonekana naleta siasa. Jamaa angetafuta hata dili la mafuta ya Urusi.
We retired them because they are 2nd generation like your F-5, why don't you retire your 2nd generation instead you want to compare with our 3rd generations?MIG-21 were retired. And some of the J-7 crashed in Mwanza.
Shitholes like Tanzania[emoji23][emoji23] who even buys Chinese warplanes
I said it, this subject is way beyond you.Tell me any modern war that Tanzania has ever participated in? The wars that you are talking about are wars of 1960' when parties engaged were actively practicing gorilla wars.
Nadhani itabidi watu wengine tufuate nyayo zako, hatufai kabisa hapaKitambo sana huwa simjibu na nilishamblock mda, huwa naona post zake watu waki mquote.
Mbona hueleweki wewe bwana Mapesa, mara nne mara tisa mara tano [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]