Ni kweli soon tutaikutia Morocco.Tanzania raha Sana, Yaani Tunisia huwa inapokea namba kubwa Sana ya visitors kuliko Tanzania ila kwenye mapato tunawapiga..
Tafsiri yake ni kwamba Tanzania tunafanya high end tourism kwa sababu vivutio vyetu ni exclusive and unique.
Kwa hiyo tu cook kwa faida ya nani?Tunisia doesn't cook figures.
Nishampotezea chizi huyo, cmjui kabisa na aliponi quote kwa ujinga ujinga ikabidi ni msearch ndipo nikagundua ni dizain ya wale watu wenye msongo wa mawazo waliopo humu JF, wapo wengi sana na wengi wao ni majobless wana hasira sn.Itakuwa kakufananisha mkaushie tu mkuu maana hii thread si ya maneno maneno ni FACTS AND EVIDENCE mwendo mmoja.
Wanakuja muda si mrefu [emoji16][emoji16][emoji16]Wakunya hawakawii kusema zimetoka kunyaland
View attachment 2240312View attachment 2240313View attachment 2240314View attachment 2240315
Pamoja mkuu.Nishampotezea chizi huyo, cmjui kabisa na aliponi quote kwa ujinga ujinga ikabidi ni msearch ndipo nikagundua ni dizain ya wale watu wenye msongo wa mawazo waliopo humu JF, wapo wengi sana na wengi wao ni majobless wana hasira sn.
Kwahiyo mafundi simu unawaweka level moja na minerals dealers? ππππEbu soma story ya huyu Kijana mjanjez. π€£π€£
Na tofauti na huyo wenu, yeye hategemei vitu anachimba ardhini zenye hakuziweka. Anategemea akili yake. Usicheze na Wakenya.
Tanzania products πWanakuja muda si mrefu [emoji16][emoji16][emoji16]
Officially Kenya adopts Taifa Stars as their National team on ongoing African competition. [emoji16]Endeleeni kushangilia vya wenzenu wakati nyie mumetimuliwa kwenye mashindano [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Tunisia and Morocco wanafanya mass tourism with less staying time unlike Tanzania wanafanya high end tourism with longer staying time ndio inaleta the difference in mapato.Ni kweli soon tutaikutia Morocco.