Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Botanical garden haijamegwa labda uniambie gymkhana Southern sun iko upande mwingine wa Botanical garden

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huwa wakicoment humu halafu app ya jf ioneshe sent by simu fulani huwa wana edit comments chap kuondoa hiyo sent by. [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanajipa shida ya bure tu mtu si uishi maisha yako halisi, nini shida kufake life lisilo lako?
 
Nchi ya neema hii mkuu, halafu eti niende Ulaya kutafuta maisha kama mkimbizi? Ikiwa nimepata kazi ya uhakika sawa lakini kubahatisha siwezi. Kuna watu huko hawali chakula organic kama hicho chako [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa hao wanadandia hadi tairi ya ndege alimradi wafike utumwani Ulaya maana maisha ya utumwa kwao ni bora kuliko maisha ya Kenya.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Ndio mkenya pekee aliyethubutu kuonesha cheti, wengine bado wanasoma wanaongopa eti wanafanya kazi lkn masaa 24 wapo humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wewe kama hukusoma nyamaza. Certificate enyewe huna.
[emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama ndio hivyo ni shida sana,yale yale Wizara ya Ardhi ninasema tena walienda shule kusomea ujinga haingii akili watoe vibali sehemu ambazo haziruhusiwi kujengwa au isiyo matumizi sahihi, watu hawajengi, tena sehemu kama hizo pasipo kupewa go ahead na Manispaa, Jiji,watu wa mipango miji wanakera sana.
 
Unaona sasa ni watu wazima na ndevu zao ndefu kama steel wire waliruhusu huu ujinga wote kutokea,hawastuki, hawaoni aibu,haiwasuti.

Kuna haja ya kuipanga upya hii miji yetu.Ukiwa ofisini kwao sasa wanajidai na kujiita wasomi utadhani usomi wao una tija yoyote ya maana,wamejaza mavyeti kumbe hayana maana kabisa.

Kuna watu ni nature yao kutokupenda vitu neatness,hawana maono, ubunifu wala uthubutu wa kufanya kitu kiwe kizuri, san sana utawasikia busy kusifia vya wengine, akili ya kuiga na kubuni hawana kabisaaa!!![emoji57][emoji57][emoji57][emoji2955][emoji2955][emoji52][emoji52]
 
Hiv inakuaje mtu unakua na vyeti vya chuo kimoja vingi kiasi kile.? 😂😂😂. Au mwamba alisoma vi short course..?
Differentiate between transcripts and certificate. With this kind of reasoning I'm sure hata University ndio hukukanyaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…