Tunataka picha za chini za hayo maeneoKwa wale wanaopayuka kwamba Dar is a slum haina slum tazameni hapa.
View attachment 2234711
Masaki ni kwa matajiri na msasani ni slum na zipo side by side. Matajiri na masikini wanaishi next to each other.
Kwahiyo hizo ni slum kama hiziUnajifanya kwamba hakuna pahali panapoitwa Msasani hapo Dar?
View attachment 2234738
Paradise of dust, thirsty and hunger thou.Nairobi is quickly turning to a paradise
Unaweza kuona jinsi timu ya Cameroon ilivyo na historia nzr ya ushindi, hapo ndipo utajua timu yetu iko vzr kiasi gani.
Uchafu tu....sasa ukubwa kwenye kitu gani jengo au uwezo wa kuhudumia magari na abiriaWewe jibu swali. Kati ya hii yenu na Oshodi bus terminal gani ndio kubwa zaidi kwa maana mnasema kwamba yenu ndio biggest in Afrika??
View attachment 2234980
View attachment 2234981
View attachment 2234982
View attachment 2234983
chongchung alikuwa anadanganya kwamba hakuna slum inayoitwa Msasani huko Dar. Sasa angalau wewe umeconfirm kwamba ipo.
Tusipo kuwa macho kwa mali zetu basi si china wala wazungu watakuwa malaika kwetu ,Ninawashangaa Sana watanzania wanaoichukulia China kuwa ni wanyonyani, tayari propaganda za wazungu zimeanza kufanikiwa.
China is the best friend of African, udhahifu wetu na kushindwa kwa Afrika katika kusimamia maisha na maendeleo yetu, tunataka kulaumu China
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
siunaona ulivokua mwehu 🤣🤣 mm narudia kukwambia russia ina technology kubwa sana duniani na technology ya russia ndio tishio kubwa duniani vile vileRussia wapo sawa kwenye technology lakini bado hawafikii wazungu wa West
Ikulu to infinity, bonge la ikulu mzee [emoji3059][emoji3059][emoji7][emoji7]
Hiyo siyo slum kama unavyo fikili wewe hapo msasani mimi nimewai kupatembelea sana tu kununua vitu. Sema wamiliki wa nyumba wamejenga vyumba vingi vya kupangisha na kusababisha msongamano kutokana na ilo eneo kupendwa kibiashara kwa sababu ni karibu na maeneo ya matajiri na karibu na ufukwe wa coco Beach [emoji950] hivyo hakuna slum inayo itwa msasani hapo msasani ni karibu na makazi ya wazungu na ubarozi wa [emoji631] nikama kilometa moja tu kutoka ulipo ubarozi wa USA [emoji631] sasa kama mabeberu wameshindwa kupatambua kuwa ni slum ....wewe mkikuyu wa kibera ni nani tukusikilize.chongchung alikuwa anadanganya kwamba hakuna slum inayoitwa Msasani huko Dar. Sasa angalau wewe umeconfirm kwamba ipo.
Nioneshe hiyo slum kutoka Google maps, mbona simple sana,chongchung alikuwa anadanganya kwamba hakuna slum inayoitwa Msasani huko Dar. Sasa angalau wewe umeconfirm kwamba ipo.
View attachment 2235094
Sasa kama wewe mwenyewe umekubali kwamba majumba ambayo yamejengwa Msasani ni duni sasa mbona tusiite eneo hilo slum?Hiyo siyo slum kama unavyo fikili wewe hapo msasani mimi nimewai kupatembelea sana tu kununua vitu. Sema wamiliki wa nyumba wamejenga vyumba vingi vya kupangisha na kusababisha msongamano kutokana na ilo eneo kupendwa kibiashara kwa sababu ni karibu na maeneo ya matajiri na karibu na ufukwe wa coco Beach [emoji950] hivyo hakuna slum inayo itwa msasani hapo msasani ni karibu na makazi ya wazungu na ubarozi wa [emoji631] nikama kilometa moja tu kutoka ulipo ubarozi wa USA [emoji631] sasa kama mabeberu wameshindwa kupatambua kuwa ni slum ....wewe mkikuyu wa kibera ni nani tukusikilize.
Hili swala, liliongelewa sana wakaji tetea sio pesa za serikali, na hizi walizo chezea huku kwa endless shopping ni za wahisani sio? Kifupi rais anatakiwa ajitazame upyaa mapungufu ni mengi mnoo,mana hiininaonyesha wazi jinsi gani hakuwa na control kwa wapape wake kabisa[emoji848][emoji848]Geza Ulole naomba "Comments" zako katika huu mjadala wanachozungumzia
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Alafu lengo ni kuvutia watali na investors , kweli kama nchi tumeanguka kwa kuwa na incompitent leadersGeza Ulole naomba "Comments" zako katika huu mjadala wanachozungumzia
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
na akipata nitag😂😂Nioneshe hiyo slum kutoka Google maps, mbona simple sana,