Uongo. You are not building a $30 billion LNG plant. The sooner you stop dreaming the better for you.Mzee what is not possible there ?
They can as well implement it in phases kama sisi tunavyojenga Kinyerezi,
Remember we are also building a 3$0b USD LNG.
Na reli tunajenga of almost $14b na JNHEP $3b
Money talks dude, Money.
Hivi sasa hivi imefikia asilimia ngapi mkuu?
Trashtop 10 ongoing projects in +254.! in 2022
Ni Msasani ya wapi hapa?Kwa wale wanaopayuka kwamba Dar is a slum haina slum tazameni hapa.
View attachment 2234711
Masaki ni kwa matajiri na msasani ni slum na zipo side by side. Matajiri na masikini wanaishi next to each other.
Unajifanya kwamba hakuna pahali panapoitwa Msasani hapo Dar?
Kila moja inasema lake, nishike lipi?Unajifanya kwamba hakuna pahali panapoitwa Msasani hapo Dar?
View attachment 2234738
russia sio nchi ya mchezo wale jamaa wamejipanga siunaona rubble inavosumbua dunia sasa 😂😂😂😂Turkey anachotaka ni USA ikubali kuiuzia F16s. USA anajua cha kufanya ili Turkey ikubali.
hawana tofaut na kenya katika umiliki wa ardhi na mashamba 🤣🤣🤣🤣
Unajifanya kwamba hakuna pahali panapoitwa msasani hapo Dar is a slum?
Mbona inakua ngumu wewe kunionesha hiyo msasani from Google map?Unajifanya kwamba hakuna pahali panapoitwa msasani hapo Dar is a slum?
Tena bora hata hao wasauz kidogo 😂😂😂😂hawana tofaut na kenya katika umiliki wa ardhi na mashamba 🤣🤣🤣🤣
This is not a Chinese city 👇Kenya utafika huku mwaka 3000Dar-is-a-slum year 2199View attachment 2234676
Usiwe mpumbavu!Hii na Oshodi bus terminal ya Nigeria gani kubwa kushinda nyingine?