dopchinski
JF-Expert Member
- Mar 11, 2021
- 3,387
- 3,685
ππ½Noted ! let me think of how am gonna bring washrooms closer to the common Spaces.. thankyou for tht keen observation..Public toilet umeipeleka mbali sana na dining na sitting room inatakiwa iwe easily accessible na mgeni! Ilipaswa ikae hapo kwenye bedroom #1
View attachment 2234303
Yeah lakini doors zikingwe kidogo na ukuta from direct sight to sitting room, isiwe mtu akifungua toilet anaface living room moja kwa moja!ππ½Noted ! let me think of how am gonna bring washrooms closer to the common Spaces.. thankyou for tht keen observation..
Hii na Oshodi bus terminal ya Nigeria gani kubwa kushinda nyingine?Dar es Salaam, Tanzania
DETAILED TOUR OF DAR ES SALAAM BUS TERMINAL IN TANZANIA , NAMED AFTER THE LATE JOHN MAGUGULI.
Is Magufuli bus terminal Africa's biggest bus terminal? Please let do the detailed tour together and find out more information
Source : menny terry
Timu ya Taifa hupewa buses na serikali, na hizo buses serikali wanazo mingi sana NYS na ndio hua wanapewa, pengine serikali yenu haina buses za wizara ya michezo na vijana ju nyinyi ni nchi maskini. π€£ π€£ π€£Kuna mtu alisema haya ni mabus ya timu ya taifa ya Kenya tena hku akibeza kwamba Tanzania tuna Bus moja[emoji28]
Hata hivyo habari yenyew ni ya 2018, leo 2022 na hayaonekan barabarani[emoji23]
Sijui kwann tulimuamin[emoji23][emoji23]View attachment 2234309View attachment 2234310
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Wewe endelea kufurahi tu. Unajua Sweden na Finland zimeapply kujoin Nato? Ama huna habari?
na hazitakubaliwa turkey amepinga tayarπ€£π€£π€£π€£Wewe endelea kufurahi tu. Unajua Sweden na Finland zimeapply kujoin Nato? Ama huna habari?
Zifutwe zote,huo ni uhuni.
Turkey anachotaka ni USA ikubali kuiuzia F16s. USA anajua cha kufanya ili Turkey ikubali.na hazitakubaliwa turkey amepinga tayarπ€£π€£π€£π€£
Africa sikuizi inaitwa Kenya. Jifunze kusoma articles upanue akili badala ya kuropokwa.