Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,228
- 107,854
The CS of that ministry will be very powerful!Nyie ndio mko confused majukumu ya police na army ni tofauti how can you bundle them together eti pamoja na intelligence nyie ni vituko sana
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kama akili huna basi,kwa kukusaidia hapo walipoandika Halmashauri Ndio elimu ipo,bajeti hizo za Halmashauri na mikoa zinahusika na usimamizi wa Elimu..😅😅😅
Acha ukora bana! Hakuna kitu kinachohusika na Elimu hapo nimeona tu Mishahara,na Kama unaleta mambo ya mishahara, leta mishahara inayohusika na elimu kama kulipa waalimu, acha kuleta mishahara ya wafanyikazi wa serikali kwa jumla..
You know what the funny part is?
Hata uongeze hayo mambo yoote na uongo zoote bado haifikii bajeti ya elimu ya Kenya 😅😅View attachment 2232340View attachment 2232338View attachment 2232342
View attachment 2232353
weka budget Wacha manenoYou sure you want to go down that path? Kenya's is more than 3 times your budget
Ndezi utakua wewe unaelialia kama mtoto wa ngedere..These kinds of leaders 😑
Sema kiufupi serikali ya sasa ya kindezi sana
Ndo mana hata maRC na maDC wamepiga kimyaa
Kwani umemuona huyo tuu? Yupo hadi Eliakim Maswi ..
wacha kudharau Egypt. not only are they significantly wealthier than Kenya but alot more organized than we are. By African standards, Egypt is on heavy weight level and we're on welterweightKuna mall kubwa sana inajengwa Eastleigh na ipo 90% complete. Inaitwa BBS mall. Hapa Afrika, South Africa tu na pengine Egypt ndio wametushinda kwenye idadi na ukubwa wa malls. Hata hio Egypt siko sure.
Not your fault... Can't expect a Gen-Z to be impressed with things like theseNot impressive
Dah ama kweli Wasomali wameamua kuukumbatia uchumi wote wa Nairobi peke yao! 😁Kuna mall kubwa sana inajengwa Eastleigh na ipo 90% complete. Inaitwa BBS mall. Hapa Afrika, South Africa tu na pengine Egypt ndio wametushinda kwenye idadi na ukubwa wa malls. Hata hio Egypt siko sure.
Huyu capital nae aboreshe sasa mazingira ya workshop yaendane na kazi zake!
Hata Ghana wamewapiga kabang!wacha kudharau Egypt. not only are they significantly wealthier than Kenya but alot more organized than we are. By African standards, Egypt is on heavy weight level and we're on welterweight
Ina maana hujui ulichoshare hapo hii inaonesha how stupid you are by shooting yourself on the foot. Defences buget Kenya KES 128bn Tanzania TZS 2.7Tr equivalent to USD 1bn for Kenya and USD1.2bn for TanzaniaJaribu tena uongo ingineView attachment 2232388
Mnajaribu kudanganya watu ambao wanaeza fanya utafiti mdoogo sana kupata ukweli..these are public documents!
Kwa ivo JKT inapata Tzs 386 billion wakati KDF inapata Kes 128 bn.
View attachment 2232392View attachment 2232393
I said I am not sure. Sasa hio ni kuidharau aje? I just don't have enough information about Egypt ndio maana nimeiweka kando. But in Sub Saharan Africa (excluding North African countries), Kenya ndio ina second highest mall space, according to this 2017 Knight Frank report.wacha kudharau Egypt. not only are they significantly wealthier than Kenya but alot more organized than we are. By African standards, Egypt is on heavy weight level and we're on welterweight