Hivi wamepewa kazi ya kusifia serikali au vp...awamu ile mapambio yalikua kedekede...
Huo mradi utaharibu mazingira ya EAC.Niliona mkiandamana ughaibuni kupinga huu mradi...Wakenya mnawashwa sana na mambo yasiowahusu
Mfumuko wa vitu unaletwa na mama,acha utoto na ujinga..Huo mfumuko uko Tanzania tuu? Hujui chanzo? Huoni serikali inavyopambana kuukabili?Hivi wamepewa kazi ya kusifia serikali au vp...awamu ile mapambio yalikua kedekede...
Btw Mama kuna vitu anavipeleka ndivyosivyo...Yani amejitajidi kusahihisha madudu ya Jpm alafu anatengeneza yake mwenyewe...especially hili suala la mfumuko wa bei ya vitu muhimu
Nyani honi kundule. ni nini na expressway kuwa ni white elephant? Ama hilo linawahusu..Niliona mkiandamana ughaibuni kupinga huu mradi...Wakenya mnawashwa sana na mambo yasiowahusu
Wewe unaota, hizi station zote zipo ndani ya Nairobi MetroNin kinakupa ujasiri kuponda kituo ambacho kipo pembeni ya mji ikiwa nyiny mlishindwa hta kujenga hicho kdogo kwaajil ya watu wa pembezon mwa jiji[emoji848]
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Ila hiyo yenu yenye limit ya 65kph ndio expressway [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Your BRT is not an expressway cause of the stations placed 200 meters apart. Gari inamove kidogo alafu inasimama tena. So what kind of expressway is that?
Our economy is on a strong footing. Highly diversified resilient and not a consumption economy. All consumption economies are bound to suffer greatly with prevailing global shocks.Baada ya Ksh.sasa ni Ush.kuporomoka.
Only Tsh is gaining strength against us dollar [emoji116]
View attachment 2231744
Lorry converted to a bus [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Built in Kenya by Kenyans for Kenyans.
Thank you Tusker FC for practicing "Buy Kenya Build Kenya"
View attachment 2231748
View attachment 2231749
View attachment 2231751
View attachment 2231752
Hayo maneno mengi ndio yanafanya watu Wanakufa njaa huko Northern Kenya..Our economy is on strong footing. Highly diversified resilient and not a consumption economy. All consumption economies are bound to suffer greatly with prevailing global shocks.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Pinga kwa facts acha kuhamaki kama umebanwa kende.Look at this fool[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mchina hana pressure ikifika 27 years hajarudisha hela yake anakamata collateral tuu.
Hawezi elewa vitu vya mbele hivyo kwake hata electric powered sgr hawezi elewa utaratibu wake ukoje.Unafikiri ni kila gari inasimama kila kituo? Kwenye terminus unaboard bus kuendana na stations zake, usifikiri kisa ni destination moja bas any intermediate station will be allowed to drop and pick, nope hii ni system na ndio maana imewashinda [emoji28][emoji28][emoji28]
Says a disgruntled Kunyan. [emoji16]Huo mradi utaharibu mazingira ya EAC.
Endelea kutupa daily dose ya big white mf....cking elephant. Hatujaona dose ya jioni bado.
You guys are always finding reasons to degrade this project, ever since it was proposed, you went fro it will never be built, to it will never be completed to it looks ugly, it has flows like the drainage system, and now it's a white elephant.. the I'm sure the stories will continue as we continue proving you guys time and again.
The road hasn't even been officially commissioned yet, it was opened last week on a trial basis ; meaning wanafanya test before official opening. More than 11,000 people had already registered before last week and the Transport Cabinet Secretary clearly said they're registering more than 800 people on a daily basis.
Now don't be fooled, as you can see clearly the traffic flow at mombasa road is seamless... When there isn't traffic jam on mombasa road, it's totally unnecessary to use the expressway for a reasonable Kenyan, as explained in this video