better our Kenyan made ma3 rather than being carried by this hectic BRT
Kuna mabasi kama hayo hapa kenya lakini sijawahiona mtu yeyote amejishikilia kwenye hizo hanger, na sio kutokujua ni za kazi gani lakini sheria zetu hazituluhusu kusima kwenye mabasi kama gunia za carrots
[emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]jasho inanuka kwa hiyo BRT ni mungu tu anajua....ati nisimame hivi hadi Thika for one and a half hours ......pwahahaha
haiwesmek
.
aibu kubwa sana kwa ibiria kusimama kwa matatu katika nchi ya kenya-DC (developed/developing country)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
prove it plz.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kunguni we achana nazo! Maanake hivi kwenye BRT Zenu hizo zipo pia
Wow another white elephant😀😀😀😀All trees gone! Excavation full swing
For these, 40 Flr Hotel, 25 flr Office, 19 flr residential. Montave Kenya
prove it plz.....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sasa kwa sababu wakenya wenzangu wanasema kuwa abiria huwa hawasimami kwa mabasi za BRT ina maana kuwa mimi pia lazma nikubaliane? tumia akili ww...uskue kilaza..mimi nimekuwa amsterdam na nimewaona abiria wakisimama kwa tram trains na basi...Hivi unajua kwanini tunawashangaa hivi? wenzeni walipinga sana hii kitu kusimama kwenye public transport na wametukana kila tusi, angalia post za nyuma , tuliwatumia hata mabasi ya london, lakini wakasema wao kenya hamna vitu kma hivyo, sasa na wewe hapa unaonekana kituko tena kwa kubali hadharani hivi hivi wakati wenzako huko nyuma walikua wanatapika pumba. too bad hamweleweki.
with these buildings, nairobi will beat some sa cities let alone this village of dar...All in Nairobi
let me satisfy your ego my friend,actually dar isn't a city...just a fishing village along the coast of indian ocean.We have asked you a million times, Give as a picture that shows that Dar is a city.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Wow thanks for 2 renders😀😀
Ndio maana kadoda aligusia hilo unawezekana umetoka nje umeosha macho. waswahili wanasema Samaki mmoja akioza wote wameoza, mmetushangaza tu automatically sio Mimi peke yangu . Na Hizi thread zimetufundisha vitu vingi sana kuhusu forumers wa kenya. Exposure zero ushamba A+,sasa kwa sababu wakenya wenzangu wanasema kuwa abiria huwa hawasimami kwa mabasi za BRT ina maana kuwa mimi pia lazma nikubaliane? tumia akili ww...uskue kilaza..mimi nimekuwa amsterdam na nimewaona abiria wakisimama kwa tram trains na basi...
let me satisfy your ego my friend,actually dar isn't a city...just a fishing village along the coast of indian ocean.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hope you're feeling better now.
Another one for Nairobi Citylet me satisfy your ego my friend,actually dar isn't a city...just a fishing village along the coast of indian ocean.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hope you're feeling better now.
Ardhi ni tatizo kubwa Kenya , ka eneo kamebana kamechimbwa kote [emoji3] [emoji3] [emoji3]Majani Plaza in the middle of the CBD
All Nairobi city is an antiquity Nairobi ni jiji LA kale linafaa lote liwe museumThe oldest house in Nairobi (in the foreground) Now turned into a Museum
All Nairobi city is an antiquity Nairobi ni jiji LA kale linafaa lote liwe museum
spensa_e
Antiquity ya Dar ni lile jengo la shetani.All Nairobi city is an antiquity Nairobi ni jiji LA kale linafaa lote liwe museum
spensa_e