Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bagamoyo port nayo mradi imefika wapi?

SGR yenu inafunikwa na mradi wa Lapsset kwa value
 
Ila we jamaa bhana 😂😂😂
 
Wakati mwingine unakosa cha kuandika unabaki unacheka tu [emoji2][emoji2][emoji2]
Mbona mkose cha kusema wakati mwenzenu anataja hadi Bagamoyo port iliyoshakula vumbi kitambo?! Then the value of most of the projects sio za kweli. Mfano ni Dar port expansion na LNG
 
Bashe yuko vizuri kwenye kilimo..naombea akae zaid ya miaka 10 or 20 kwenye hii wizara kwa mentality au consistency yake hiohio..apewe full support na kila atakaekuwa boss wake (Rais)
Tatizo sio Waziri,tatizo ni pesa na Sasa Rais ameamua kutoa pesa na kukigeuza kilimo..

Alianzaga JK na kilimo kwanza kwa kuvuta investors kwenye Kilimo kikubwa Mwendazake akavuruga sasa tunarudi kwa kishindo bila porojo porojo..

Sio tuu Kilimo bali Hata Elimu inaenda kufumuliwa upya..

Serikali ya Samia imeamua kuwaamini watu wenye uwezo,kuwapa nafasi na kuwawezesha kwa fedha, bahati nzuri Serikali ya Sasa haina tatizo la pesa kama hapo awali..

Come 2025, Tanzania itakuwa nyingine kabisaa 🙏🙏

 
Acha ufala wewe kichaa, hapo konza kuna nini cha kulinganisha na DODOMA.? Au unataka uone what's going on in Dom.?
How do you compare Dodoma with Konza? Konza ni mji/jiji linazaliwa upya from scratch wakati Dodoma imekuwepo kabla ya Tanganyika kuungana na Zanzibar na kuunda nchi!! Are you insane?
 
Naangalia citizen TV wanasema its a PPP na I will cost 30bn ksh
 
How do you compare Dodoma with Konza? Konza ni mji/jiji linazaliwa upya from scratch wakati Dodoma imekuwepo kabla ya Tanganyika kuungana na Zanzibar na kuunda nchi!! Are you insane?
We matako, hapa tunazungumzia existence au tunazungumzia thamani ya miradi inayofanyika currently.? Luckily miradi ya Dom ilianza 2017 while konza ilianza since 2008
 
Ni mda muafaka sasa Rais atafute watu wengine kwenye wizara ya Uvuvi na Mifugo,zile ni wizara zilitakiwa kuleta pesa Nchini ila zimekosa watu wenye brain power...

Huwezi kuingiza pesa nyingi kwenye wizara hizo wakati hakuna watu sahihi wa kuleta mabadiliko..

Rais ateue watu wapya kutoka Private sector waje kuleta Mapinduzi..Kuzurula na Mang'ombe huku na huko yakiharibu mazingira sio sawa,huu sio ufugaji.

Sio mimi ni Lipumba kasema 👇

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…