Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

As usual goal shifting [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
What have I shifted? We were mentioning projects going on in our respective countries then you came up with this airline "modernisation" line that doesn't make any sense at all coz your airline is still trailing KQ in everything
 
So sgr ni $1.9b?and uko hapa unajiita msomi, tunafanya 4phases kwa sasa...phase ya kwanza $1.2b ,95+ complete, ya pili $1.9$ 80s+ complete ya tatu Makutopora Tabora $1.9b ya nne Isaka mwanza $1.32b
Sasa ni wivu ama kitu gani kinakusumbua...Do the math kwa sasa tunapambana na kazi ya $8.22B hiyo ni SGR pekee yake
 
Planners kutoka United Kingdom wamekamilisha kazi ya kuchora ramani na plans za railway city na kuzindua plans hizo leo baada ya miaka miwili ya kufanya planning. Railway city itakuwa a city inside a city. Kuna ardhi katikati mwa Nairobi ya 400 acres inayomilikiwa na Kenya railways ambayo ni idle. Sasa hii ardhi badala ya kuwa idle, serikali ya Kenya iliamua kuwahusisha wataalam wa city planning kutoka UK wachore masterplan ya city within a city. Hii city itajitosheleza kwenye kila kitu. Tayari Kenya ina Tatu city na Konza city.
 
Wadanganyika mna tabia za kiujamaa sana, yani hadi fikra mnataka zifanane za kila mtu
Siyo hivyo ndg yangu heshima kwa kila mtu inatakiwa sana,sioni busara yoyote kumtukana mtu aliyekufa.

Hapa jamvini tukiachana na mambo ya utani lakini tunaonyana, tunafundishana, tunakosoana, tunafurahi maisha yanasonga.

Sioni kama ninakupangia kitu ila nimeona siyo poa kusema hivyo, hata wewe unaweza kunichana bwana hapa siyo, unachofanya na kusema si sahihi.

Waafrika sisi ni Waungwana na ninaamini kwamba hata Kenya wapo wazee (watu wazima) wenye umri mkubwa ambao wanaweza kutupa muongozo.

Nawaheshimu wazee wote kutoka Kenya na Tanzania.

Amani iwe nawe.
 
What have I shifted? We were mentioning projects going on in our respective countries then you came up with this airline "modernisation" line that doesn't make any sense at all coz your airline is still trailing KQ in everything
Was talking about modernization of Air Tanzania sasa wewe unataka niingize KQ ili iweje?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Shida ni kwamba hawataki kuamini kwamba phases nyingine ziko kwa construction, hii habari inawachoma mno.Wanajipa matumaini hewa kwamba haiko.
 
Shida ni kwamba hawataki kuamini kwamba phases nyingine ziko kwa construction, hii habari inawachoma mno.Wanajipa matumaini hewa kwamba haiko.
I have come to realise that most of these guys from Kunyaland ni washamba sana wako out of touch na reality they enjoy living in their own self made cocoons.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 

Wakenya ndo tunaanza rasmi kilimo cha umwagiliaji yani ndani ya miaka mitano mpaka 7 ijayo mjindae vilivyo tutawauzia chakula chenye gharama zaidi ya 1b $
Bashe yuko vizuri kwenye kilimo..naombea akae zaid ya miaka 10 or 20 kwenye hii wizara kwa mentality au consistency yake hiohio..apewe full support na kila atakaekuwa boss wake (Rais)
 
Bashe yuko vizuri kwenye kilimo..naombea akae zaid ya miaka 10 or 20 kwenye hii wizara kwa mentality au consistency yake hiohio..apewe full support na kila atakaekuwa boss wake (Rais)
Akipata hii support unayoisema Tanzania kwenye kilimo tutafika mbali sana.Yuko vizuri ana maono mazuri na ya mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…