Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndinda wanyorosheeeee....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
z hotel znz
no way,this can't be Zanzibar....hii ni mombasa...Zanzibar haiwezi kuwa nzuri namna hii...[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
labda wanjala atujibu😀😀😀😀😀😀
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
aibu kubwa sana kwa ibiria kusimama kwa matatu katika nchi ya kenya-DC (developed/developing country)

repost:

mbona watu wanasimama mpaka kwenye BRT na LRT mkuu?
 
mbona watu wanasimama mpaka kwenye BRT mkuu?
sisi kwetu sio jambo la kushangaza,kwasababu tayari BRT zetu zimeandaliwa mahususi kwa ajiri ya abiria kusimama.

issue ni hawa wakenya wenzako washamba wa hapa JF,huwa wanastaajabu wanapoona picha zinazo onyesha abiria wamesimama kwenye BRT yetu.
 
abiria wanasimama mpaka kwa light rail...nenda addis ababa ujionee...hata marekani...sio jambo lakushtua ila nyie mpaka kuku, mbuzi na bata huwa mnasafirisha kwenye BRT...yaani mnachekesha kweli...
 
angalau wewe kidogo unauelewa wa hili jambo,inaonyesha ulishawahi kutoka nje ya kenya na kujionea utaratibu tofauti wa town buses katika nchi nyingine.

inabidi elimu hii uwaelimishe hawa wakenya wenzio wa JF ambao wana-lack exposure na kutofahamu utaratibu wa BRT katika mataifa mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…