Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bora hata Nairobi aisee, co kwa vumbi hilo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zama kwenye comments uona wanavyokaangwa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Halafu kuna video walisema Accra ni more developed kuliko Dar Youtube
 
Wenzako walisema watakuja dar kuonyesha slum mpaka saahii hakuna hata mmoja kaweza wewe ujiulizi kwanini, nyinyi mna kota ....mitaa yenu ni kama mitaa yetu ya kota za majeshi ni nyumba zimefanana
Heeheee. Ati kwota za majeshi bongo zinakaa hivi. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ

 
Danganya toto jinga, that blue signage huko mbele haiwezi patikana anywhere in that Tabora village.
Kwahiyo Rais alivyokwenda kuzindua hii barabara alidanganya au alivyafanya hivyo ili tuziweke humu ndani kwa ajili ya battle.

Nyinyi Tanzania hamuijui vizuri. Eti haiwezi patikana anywhere in that Tabora village. Muwe mnafuatilia hata matukio kwa tv, alikuwa live juzi. Dogo acha kujiaibisha unabisha vitu usivyovijua.
 
CCM imezoea kuwafeed propaganda hadi huwezi tumia akili yako kutofautisha hizo picha.๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ