Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Najua hatujafanana...Tunaextend dual section hadi chalinze nasi...tunasubiri tu budget ipite...mmetangulia kidogo
 
SSH naenda kuzindua 400+km of paved Road (bitumen standard)huko Tabora kuanzia tar 17 may 22,nmeona expressway imewapa goosebumps nyote...ni kama hamna akili hivi
Hata akizindua hiyo 400+km bado hamtafika 10,000km of paved roads πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kenya = 22,600km of paved roads
Tanzania = 9,000km of paved roads.



 
[emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania sell raw materials to Kenya. Kenya process the raw materials and export finished products back to Tanzania. Akili watu wangu, akili muhimu🧠

hivi nimecheka yangu yote.!! πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… watajua hawajui.! sisi ndo wale wasee...

 
Mtu anasema barabara za Nairobi then anasema Thika ni 263km sasa kweli Nairobi inastretch 263km? Then huyo mtu anajiona ana elimu kichwani!
Huyo ni mbwa wa kibera, kaka usije kuongopewa, Wakenya wengi wa humu ni jobless wallahi nakuambia.
 
Hawa wanaung'ombe mwingi
Hivi wewe ukisema Morogoro Road ni 39km hizo 39 zote ziko Dar? 🀣 🀣

Halafu huyo anayelialia eti 263km haziko Nairobi ni yeye mwenyewe aliyeanza ooh Morogoro road ni 40km, sasa keshaona 263km dwarfs 40km by far ndio ameanza kulia eti "Mtu anasema barabara za Nairobi then anasema Thika ni 263km sasa kweli Nairobi inastretch 263km?" Sindano babaa 🀣 🀣

CC RRONDO
 
But Tanzania leads in exportation, sasa cjui utalia kilio gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
But Kenyans control the economy of Tanzania. Tanzanian transport sector is in the hands of Kenyans cause your buses and lories are assembled in Kenya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…