The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,516
- 14,186
Hii hapana,inawapa sifa mshenzi nyie mnaolipwa salary na Serikali ila tulio kwenye sekta hiyo tunakula hasara..Ndio tulisema kitambo, confrontational diplomacy ndio solution!
Kwahiyo wewe babuni unataka kusema mabasi yetu ni mazuri kwa sababu mmeyatengeneza nyinyi wakati kwenu hakuna mabasi mazuri kama tz na kama yapo no machache , tz kwenye secta ya mabasi tunaongoza africa na hata ulaya tumewazidi nchi nyingi tuThese ones are minibuses, assembled in Thika, Kenya.
We jamaa huna hata haya kuandika upumbavu🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂 How it goes from "hakuna infrastructure ipo Nairobi na haipo Dar" i show you and it gets to hamna chakula na maji 😂😂😂😂 mko na umama sana, i gotta give it to you 😂😂😂
'Act of God' inaingiana aje na gdp.!?
Kazi ya GDP kubwa si ndio mahala pake kuwasaidia hao? Sipendi mtu kufa kwa njaa za ukame ila wenye GDP kubwa ndio mnatakiwa ku act..'Act of God' inaingiana aje na gdp.!?
I also once said this ..nikauliza kwann Burundi na Rwanda hawataki ku share reli kwani shida ni ipi..pia itakuwa less costful kwa Tz
ke gdp = tz+ug+rw+bu+ss gdps. thts wht u must knw pliz oo.!Kazi ya GDP kubwa si ndio mahala pake kuwasaidia hao? Sipendi mtu kufa kwa njaa za ukame ila wenye GDP kubwa ndio mnatakiwa ku act..
Kwamba fuel subsidies ni bora kuliko maisha ya hao watu? Kama GDP kubwa haiwasaidii ombeni msaada Tanzania tuwasaidie😆😆
We also have Superdollfabricated by KEHAR.co.ke for instance..
kenya is where these type of Oil Tankers are fabricated and exported to the rest of africa including SA
View attachment 2223745View attachment 2223746
Kama haisaidii Wakunya wanajifia ,hiyo ni failed state yenye GDP ya makaratasi 😄😄ke gdp = tz+ug+rw+br+ss gdps. thts wht u must knw pliz oo.!
it rings some resonance of
Russia vs NATO (us+br+ge+fr+ca+sp+it etc etc..)
Wanahofu ya kupinduana 😆😆I also once said this ..nikauliza kwann Burundi na Rwanda hawataki ku share reli kwani shida ni ipi..pia itakuwa less costful kwa Tz
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣akili za kikunya bwana!🤣🤣🤣🤣🤣kwamba zulu land wanawategemea kwenye fabrication au siofabricated by KEHAR.co.ke for instance..
kenya is where these type of Oil Tankers are fabricated and exported to the rest of africa including SA
View attachment 2223745View attachment 2223746
Njia zote mbili zitajengwaI also once said this ..nikauliza kwann Burundi na Rwanda hawataki ku share reli kwani shida ni ipi..pia itakuwa less costful kwa Tz
114-77=37 fool n minds you FDI In Tz is now $8BnKwani hamuoni tuko mbali compared to nyinyi. We don't have any mineral, three quarters of our country is a desert but we still beat you in GDP by over $40B.
Hata wewe ingekuwa ndio TOTAL ungefanyaje? Wenzetu wako very nationalistic ku boost vya kwao for their own welfare hiyo ndio norns ulimwenguni pote.Sawa lakini si unajua Wana repatriate faida? Mwenye mradi hataki pesa ibakie Tanzania bali irudi kwao France
Hiyo ni redtape ya makusudi numbers zimewashitua toka usingizi wa propaganda walizolishwa sasa wamekutana na reality check ndio maana wame resort back to old dirty tricks. Imgekuwa ni football tungesema wanajiangusha angusha hovyo ili kupoteza muda.GDP ya Tanzania inafanyiwa tathmnini upya,haiingii akilini mamiradi makubwa kiasi hiki eti tuko 70 bln,huu ni uongo wa mchana.
Hata hivyo Hamchukui round ndio maana mumeanza kutapatapa..
Mkiendelea na hizi tabia mshenzi tuta act accordingly[emoji116]
View attachment 2223760
View attachment 2223761
View attachment 2223762
View attachment 2223763