Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huo ndio ukweli bwana tuusan, haihitaji elimu kuutambua ukweli huo, tafsiri ya maendeleo daima ni kinachoonekana sio zinachozungumzwa..
Kwahyo kwakua unaifuatilia China ndio Japan haijawah exist?fuatilia Japan ndio ujue China bado sana
 
Unadhani Rihanna anakuja kuperform. 🤣 🤣 🤣 🤣 Soja wewe ni fala, read to understand, don't read to reply.
 
Hivi hapo shida ni contractor au ni wasimamizi wa ujenzi? Embu tujadili hili maana matukio kama haya kwa jirani yanajirudia sana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mchina anajua fika kwamba jamaa hawana uelewa wa quality works ndiyo maana kawawekea majani kwenye flyover ambayo tayari yameshakauka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…