Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nasubiri jengo hili kwa hamu sana...ichoboy mkuu vipi kuhusu projct za Dar?

Asante kwa kutuonesha big white elephant
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Sice 2014 to date 😛😛😛😛
Itabaki renders kama tatu city na nyinginezo

Kuhusu dar sasa hvi tunajenga kawe city huku tunakamilisha ujenzi wa 711 na morocco square na nyinginezo
 
lol! huwa unachekesha sana bro...hizo project wafanyakazi wako 'on site' pamja na contractor..tumia Google kidogo upunguze ushamba...ila pengine nikuchanue kidogo mkuu pengine huelewi maana ya hilo neno...white elephant tunaita project kama SGR tz na Bagamoyo port ambazo licha ya kwamba ni bei ghali mno, hazitaweza kuleta umuhimu wowote kwa nchi....huyo ndio tembo mweupe...
white elephant sio project ambazo ziko njiani hata kama zinakwenda pole pole...
bagamoyo port white elephant - Пошук Google
 
Hahah wako site since 2014 wanachimba tu maana hatuoni outcomes....endele bro kutuonesha renders😀😀😀😀😀
Am hapi to see white elephants😛😛
 
  • kwa taarifa yako shilingi ilipoteza thamani kwa 0.23% only....now compare that to the TSH...lol! heri hata za zimbabwe
    Soma taarifa kwanza wacha kwenda race

  • 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😱😱😱
 
amekupa chakula cha jioni ama amemsaidia vipi mtz wa kawaida maskini hohehahe?😀😀 by th way, vipi kuhusu kaka Magu? bado hajamkamata Lowassa na kumtia ndani ili afinywe finywe?😀😀
Lowasa ashastaafu anakula bata tu...
Magu ananyoosha watu kama kawa kama dawa😀😀😀😀😀😀😀
 
hakuna jinsi imebidi tu mvuke boda mje tanzania kujifunza kuhusu BRT yetu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…