Ako haina maaana wewe!! huji nini kwa hapo?? acha hubishi...huna cha maana cha kuongea nyau kabisaUnapotumia neno "ako" unamaanisha nini?, hicho sio Kiswahili tunashindwa kukuelewa
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
eti nabuyudika kwa ghani?Endelea kutupatia burudani kwa jinsi unavyodemka na kiswahili.
Ila wewe umeamua kufanya maksudi unatuondolea stress, sawa kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]eti nabuyudika kwa ghani?
Tupia kingine mkuu napata burudani sana.Halafu unazingua ujue we mtz sema umeamua kutuchangamsha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti nabuyudika kwa ghani?
Hii ni habari njema sana mkuu vijana wetu wengi watanufaika na huu utaratibu.Samia anaendelea kuweka legacy.
Moja ya habari ya kusisimua ni huu uamzi wa Serikali kuanza kutoa mikopo kwa vijana wa vyuo vya Kati vya ufundi na Veta.[emoji116]
View attachment 2218322
Tobaah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ako haina maaana wewe!! huji nini kwa hapo?? acha hubishi...huna cha maana cha kuongea nyau kabisa
#outopilotAnatia huruma
We kichwa maji tumia lugha unayo weza, wacha kubaka lugha usiyo iwezaAngalia hii kilaza nayo!! ako nadhania kiswahili kitu maana sana kwa land ya Bongo?? wewe asijui hii lugha ya kibantu ndo maana hukusoma weye!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani ww ni mdada? Mbona unarembua kwa kiswaili kibayaaaa sanaAngalia hii kilaza nayo!! ako nadhania kiswahili kitu maana sana kwa land ya Bongo?? wewe asijui hii lugha ya kibantu ndo maana hukusoma weye!
Quality pia iko chini.
Mimi ndume kabisaaa! ya Matata! usikuje kujaribu kabisaa hapa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani ww ni mdada? Mbona unarembua kwa kiswaili kibayaaaa sana
Mapunga hao wamepandisha bei za vifurushi sasa wanatafuta kwa kutokea mwaka jana buku moja ulikua unapata gb 2 mpaka 4 kwa siku saivi buku moja sijui mb 300 mpaka 600 hamna lolote
😔😔😔😔😔😔😔Aisee sijui tunaelekea wapi!Mapunga hao wamepandisha bei za vifurushi sasa wanatafuta kwa kutokea mwaka jana buku moja ulikua unapata gb 2 mpaka 4 kwa siku saivi buku moja sijui mb 300 mpaka 600 hamna lolote
Wee! ndo ako asijue Lugha!! tangu mwaka ghani kichwa ya muntu ikawa maji?? si weye gonjwa iko!! huoni?? weee ndio nakaa kwa Bongo land lkn aijue kitu kswahili nmana inaongea wewe nini bwana jinga kabhisaa wewe hakuna school ni buree tu!We kichwa maji tumia lugha unayo weza, wacha kubaka lugha usiyo iweza
nashangaa kitu ghani weye? anagalia!Tobaah🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ukisema quality IPO Chini utakua unakosea inategemea unatumia mtandao upi.Quality pia iko chini.
On average, Kenya has faster and more reliable internet that can be accessed in most places within the country.Ukisema quality IPO Chini utakua unakosea inategemea unatumia mtandao upi.
That may be true, but it depends with the service provider example safaricom and jamii telecom are quite reliable, telecom and Airtel and mawingu etc hawana huduma nzuri,same with tz we have quite voda konect,etc who are doing a great job in terms of internet.On average, Kenya has faster and more reliable internet that can be accessed in most places within the country.