Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii battle niliianzishaga mwenzako akakimbia

Angalia sasa the poorest region of Tanzania then compare na lodwar















 
Kwa robo tatu za mwaka huu wa fedha TRA wamekusanya trill16.69 ongezeko la trill 3.1 kutoka mwaka wa fedha ulioisha mtu anakwambia SSH hafai...Watz ni watu wa hovyo sana huwezi fanya chochote wakaappreciate
Wewe mafiii baba yako kauza ng'ombe kukusomesha kumbe kauza ngombe kusomesha ng'ombe
UONGOZI UNAPIMWA KWENYE AKILI YA MATUMIZI ZAIDI KULIKO MAKUSANYO ...... Kuna makundi manne
1) Serikali kukusanya mapato vizuri na kuyatumia vibaya
2) Serikali kukusanya mapato vibaya na kuyatumia vizuri
3)Serikali kukusanya mapato vibaya na kuyatumia vibaya
4) Serikali kukusanya mapato vizuri na kuyatumia vizuri
SASA UMEYAONA HAYO MAKUNDI MANNE SASA NIKIKUULIZA KATI YA HAYO MAKUNDI NI KUNDI GANI BAYA KULIKO YOTE NA LIPI LINALOFATA NAJUA WEWE ZUZU UWEZI KUJUA sasa acha nikuonyeshe ni lipi ni bovu zaidi .....kundi NO 1 ndiyo baya zaidi na linafuatiwa na kundi NO 3 baada linafuata kundi NO 2 kisha ndiyo linakuja kundi bora kabisa kundi NO 4
 
Shida yako kawaida huwa Kiingereza.[emoji706][emoji706]
Huku ndiko mnakokimbilia kujificha baada ya kupigwa za chembe, mbona sisi hatusemi kwamba shida yenu ni kutojua Kiswahili wakati lugha inayotumia hapa ni Kiswahili ambacho kinawapiga chenga?,

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanza siongei na vichaa,pole
 
Huku ndiko mnakokimbilia kujificha baada ya kupigwa za chembe, mbona sisi hatusemi kwamba shida yenu ni kutojua Kiswahili wakati lugha inayotumia hapa ni Kiswahili ambacho kinawapiga chenga?,

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kati ya Marais 4 Kenya, watatu (3) wametoka kabila Moja, Kati ya hao watatu, wawili wametoka familia moja.

Kati ya Marais sits(6) Tanzania, wote wametoka kabila tofauti, hakuna hata aliyetoka kwenye familia ya viongozi waliopita.

Punguzeni ukabila, Dunia inawashangaa na kuwacheka

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tz chama kilekile mambo yaleyale
 
Leo nimekubaliana na wewe 100 kwa 100 ..Good point na good reasoning..

Hamna haja ya ya waliopewa uraia kupata chance ya kugombania au pia hata wao directly kumiliki potential land isipokuwa spouse wao ..

Hii inabidi iwepo kwenye katiba,ingawa sijaisoma hii iliyopo sasa
 
Wewe ni fala sana. What kind of a person are you? Mtanzania hata hajui what's going on in their country [emoji23][emoji23][emoji1787].

For your information, that complex is owned by Chinese and managed by a Kenyan by the name Maina Njuguna.
Kwahiyo umajifanya unajua sana mambo ya Tz while huku ndani mnajifanya hamfuatilii mambo ya Tanzania [emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Ngoja nikupe reality check kidogo infact that investment is owned by Somalian President under the name of another Somalian business man.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nairobi is a world class city ndugu! comparing it with those villages you call Mtaa is actually an insult that should be handled with care
World class city gani ambayo mjini huoni hata catenary cables along a railway line wala organised public transport [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Inaonekana Shebby anaijua sana Nairobi na nimwendaji wa mara kwa mara sema anastaha tu!!!😂😂.Labda battle ingekuwa ishaisha kitambo tu.🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Aisee nataman next journey ningekua na kampani ya ndugu zangu wa humu JF tuwe tunapokezana,tatizo unajikutaga upo busy🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…