chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,083
Ingekua sasa ndio Tanzania imeandika broken English hivyo, tumbili wa Uingereza wangekua on our necks ๐๐๐๐Hahahaha, hahahaha, hahahaha
Si kutupa takataka vs Usitupe takataka
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hakuna service lane hapo. Kuwa fair wakati unadebate na wenzako. Ushikwapo shikamana. Unless hujui maana ya neno service lane. Kubali yaishe.Hizo nyingine ni service lane
Meanwhile Tanzania and Uganda are busy on Busines, mkijastuka tayari kila kitu kimekwendaShelly Ann Fraser Price wa Jamaica anahojiwa na media ya Kenya. Atakimbia Kesho kasarani stadium. Kuna watu wanapenda kushindana na Kenya ila ikija kwenye michezo tumewachapa vibaya.
90% of Ugandan imports and Exports pass through Mombasa port na haturingi kama nyinyi, tumenyamaza tu.Meanwhile Tanzania and Uganda are busy on Busines, mkijastuka tayari kila kitu kimekwenda
No wonder Tanzania is the biggest source of Uganda imports
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Still we make more money from doing business with Uganda than you, just few years back, all businessmen and women from Uganda used to go to Kenya to buy their merchandises, but out of the blue we have turned the table upsidedown. The case of Uganda's cargo, things shall change soon, we are busy building infrastructure while you are busy running and hosting Google and IBM offices[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]90% of Ugandan imports and Exports pass through Mombasa port na haturingi kama nyinyi, tumenyamaza tu.
Sasa umeanza kutu compare na USA taratibu tunaelekea huko utajua hujui tuu.Tanzanians remind me of the Americans who think their country is the Best at everything even though it's not, but heri Americans, tanzanian thinking they are
Absolutely the best? No problems in their country??[emoji1787]
Tanzania beats Kenya hands down in world ranking in freedom and democracy index,I'm glad Kenya has and exercises freedom of speech, waambiwe hao kabisaa iwafikie so that shoddy work is avoided ... Tanzania ukisema kitu ka hio the next thing unajipata west wing male ward Nairobi hospital[emoji1787]
Wakishashindwa wanakimbilia kujificha ndani ya kwapa, huko kwenye "freedom of speech" pia tumewapita kwa mbali Sana, tatizo wanajazana ujinga ili kujiliwazaKwani kuna uongo umesemwa? Au vitasa vimekolea na kukunyong'onyeza?
That is a 4 lane road hizo apo unazoziona ni aprons angalia hata marking za barabara zinaonesha lane zimeishia wapi.Sio phases zote za Dongo Kundu ambazo ni 8 lanes. Phase 1 ambayo ndio inapitia Mombasa port ndio ina stretch ya 8 lanes ili kuzuia msongamano wa container trucks zinazoelekea port na zinazotoka port. Hebu hesabu kisha unieleze hizi ni lanes ngapi? Usiwe na wivu. Mombasa mji wa pili hapa Kenya una barabara ya 8 lanes wakati Mwanza haina hata barabara ya 6 lanes.
View attachment 2214802
I loved that show.... Newsroom. it's entertaining but also an eye opener on how the news business worksTanzanians remind me of the Americans who think their country is the Best at everything even though it's not, but heri Americans, tanzanian thinking they are
Absolutely the best? No problems in their country??๐คฃ
wewe uliambiwa na nani kuwa mwanza haina barabara ya njia sitaView attachment 2214826View attachment 2214827Sio phases zote za Dongo Kundu ambazo ni 8 lanes. Phase 1 ambayo ndio inapitia Mombasa port ndio ina stretch ya 8 lanes ili kuzuia msongamano wa container trucks zinazoelekea port na zinazotoka port. Hebu hesabu kisha unieleze hizi ni lanes ngapi? Usiwe na wivu. Mombasa mji wa pili hapa Kenya una barabara ya 8 lanes wakati Mwanza haina hata barabara ya 6 lanes.
View attachment 2214802
Leta BOQ ya hiyo project inayoonyesha ni 6 lane road, mbona simpleHakuna service lane hapo. Kuwa fair wakati unadebate na wenzako. Ushikwapo shikamana. Unless hujui maana ya neno service lane. Kubali yaishe.
Nyie si mna uchumi mkubwa mbona majority hata kula tu ni tatizo!!!Acheni janja janja na kujificha kwny kwny hizi indicators kubwa kubwa swala la GDP per Capita kwa Kenya ni kujifariji tu Wanaomiliki uchumi ni wachache tu lakini unagawanywa kwa wote as if hata mtu wa kibera nae anavimba!!!.
Kuwa muangalifu jirani kuna vibaka wanatokeaga hapo lucky summer na korogocho Sura zao ukiziona huitaji maelezo๐๐Nitaona kama nitaweza kuenda Kasarani leo kuona akina Omanyala, Fred Kerley, Marcel Jacobs, Sherley Ann Fraser Price Wakikimbia. Naskia 60,000 fans watajaza hio stadium leo.