Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tuusan naona kama soja ashakuambukiza ujinga, sasa unataka nilete data za world bank and already your screenshot is reading world bank, in that screenshot of LDC Tanzania is there [emoji23][emoji23]
Nenda kwenye page yao org tupo kwenye list ya lmic tupo huko tangu 2020...how come tuwe na per capita ya 1260 alafu tuwe ldc jiheshimu kidogo tafadhali
 
Vipi mzee mpaka unakimbilia Kisumu, kumbe wewe ni Tahira, na ni kwasababu ulishajua huwezi toka kwenye battle.. haya safari njema..
Ilikuwa Kenya vs Tanzania. Umeona kama battle imekuwa nzito ukahepa🤣🤣🤣🤣
 
Tony 254 you are different from your fellow Kenyans humu una uhakika ulisomea Kenya wewe? Kwenye elimu hihii ya kudondosha magorofa? Maana arguments zako ziko vizuri most of the times save for a little salt here and there in the name of Kenya. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Magufuli was a fool. Now he's dead. Karma!
 
You can never go wrong with roads the population is increasing everyday and towns expand so the emptier the roads the better
Mombasa haina uchumi wa kubusify hiyo barabara leo wala kesho
Itasalia empty hivyo for a very long run
 
Nyie mnazo ngapi barabara za hivyo .?kama sio thika road tu, ya pili ni barabara anayomiliki mchina mliyopata juzi.?
Barabara ya Dongo Kundu ya Mombasa ina leni nane. Kwa hivyo sio Thika road na Nairobi expressway pekee kama unavyosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…