Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sio kwamba huna fursa 😂😂😂
 
Hii Nchi bila taasisi imara na Katiba mpya na nzuri tutaendelea kupigwa hadi akili zikae sawa kwa sababu Watzn kwa asili ni watu wezi na wasipenda kujituma plus unafiki..

Ila kutegemea sijui watu ndio walinde ni kupoteza mda ,jamii yetu ina hulka ya wizi.
 
na uko very sure dar nikubwa saaana kuliko nairobi.![emoji848][emoji848] sikujua hivyo mchizi wangu. lazma kieleweke
View attachment 2213787
Dyfre bado unapinga tu ndg yangu? Hata hili unapinga kwamba Nairobi ni kubwa. Ebu nipe location hapo Kericho tupate kikombe cha chai pamoja tupige soga vizuri nikueleweshe vizuri maana umeamua kupingana na ukweli mtandaoni labda ana kwa ana tutaelewana man.[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Wakuu muoneni huyu mkunya anachoongea [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aisee hata mimi nimebaki kinywa wazi.Hivi zile tu ballistic missiles wanazotengeneza na kuzifanyia majaribio kila mara zinacost shilingi ngapi moja tu?
Je wanazo ngapi.
Teknolojia yao ya ulinzi ikoje, mbona nchi nyingine ambao ni mahasimu wao hawasogezi pua kama wako weak kihivyo wakati wenyewe Alshabaab anawatesa kila uchao?

Kweli kuwa mkenya ni kipaji cha majigambo na uongo uliokithiri!!
 
Kwani hao waliosema Kenya is poorer than Zimbabwe ni kina nani?



Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
The only aquatic stadium in East and Central Africa is in Kenya.

 
Uchumi wao ni mkubwa kuliko unavyokua reported hawa WB na IMF wanajiwekea viji data uchwara kama hauko nao sambamba.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…