Mzuka lazima ukiona mahali kuna ujinga unaendelea lazima upande ili wajue kuwa upo, endelea mkuu.Atokee mbwa yeyote hapa ni battle naye nina mizuka kinoma leo, yn leo nimekuwa the best 007 wa kipindi kileee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna picture moja huwa wanapenda sana kuirefer kama Dar yote 😄 cha kushangaza hata 25% ya Dar haionekani kwenye hiyo picture.Nairobi unaweza kuiangalia yote kwa picha moja laini Dar ni tofauti sana kuna sehemu unaweza kukaa hata miaka 5 hujawahi kwenda na siku ukienda unakuta imebadilika sana.Dar ni kubwa sana na inakua kwa kasi mno. Hapa sote ni mashahidi kuna picha zote ambazo hazijawekwa humu tunaweza kuanza kubishana wenyewe kwa wenyewe kwamba hapa ni wapi au siyo Dar kwasababu hatujaizunguka yote.
Dar kama huna mishe za hizo sehemu huwezi kwenda kwasababu ya umbali uliopo.
Wanalinganisha ukubwa siyo kwamba hawajui ila wanajitoa tu ufahamu kuchangamsha thread.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna mmoja juzi alisema hata marekani wanaishi ndani ya mabati hivyo wao sio wa kwanza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
sasa kila wakati unapoicheka Kenya🇰🇪 pia nae uicheke "kaka zenu" wa dhati, South Africa🇿🇦Kenya ndiyo nchi chafu zaidi Afrika na ya 3 duniani kwa uchafu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2213142View attachment 2213143View attachment 2213144View attachment 2213145
Hivi Kenya wana matangazo ya madalali wa viwanja, mashamba na nyumba kweli kama huku kwetu?Maana nusu ya nchi nzima ya ardhi yenye rutuba inamilikiwa na familia chache hazizidi 5.Dar nzima ni misitu tupu imejaa, misitu iliyopo Dar ni mingi kuliko Kenya nzima.View attachment 2212527View attachment 2212529View attachment 2212530View attachment 2212531
Walienda shule kusomea ujinga na kujua misamiati ya kiingereza achana nao wasikuumize kichwa.Kwahiyo 2020 uchumi ulikuwa in negative way then immediately 2021 ukakuwa kwa 7.5% hivi nyie shule mlienda kufanya nn kama mnashindwa ku calculate even small arithmetics kama hizi, jiulize iweje uchumi ukuwe ilihali majolity wanafukuzwa kazi mpk leo.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Daaaaah akili za kikunya 🤣🤣🤣🤣🤣Sawa basi mmefanana🤣🤣🤣🤣🤣sasa kila wakati unapoicheka Kenya🇰🇪 pia nae uicheke "kaka zenu" wa dhati, South Africa🇿🇦
usitumie Slums kama kigezo cha ku gauge umaskini wa nchi. south africa(2nd largest gdp in sub saharan) is a rich country, and so is kenya(3rd largest gdp in sub saharan africa)
mean while, here are also Slums in South Africa, the great "Kaka Zenu"👇🏽View attachment 2213171View attachment 2213172View attachment 2213173View attachment 2213174View attachment 2213175View attachment 2213176View attachment 2213177
Hizi ni baadhi ya sehemu chache za Dar mnaamini hakuna miti kwasababu ingekuwa ni mji wa Nairobi ungeonekana wote hapo katika picha moja.Of course Dar kuna miti mingi View attachment 2212510View attachment 2212511View attachment 2212514View attachment 2212515
Ndio hapo huwa nawashangaa hawa jamaa na ukiwaelewesha hawaelewi. Kuna maeneo kama Ununio,Boko, Bunju,Goba, Makongo,Tabata,Segerea,Kijichi, Mbezi beach na Mbezi Kimara na maeneo mengine mengi huwa picha zake hazipostiwi wanadhani Kariakoo na Posta na siku hizi wameijua Kijitonyama na Mikocheni ndio Dar tu.Kuna picture moja huwa wanapenda sana kuirefer kama Dar yote [emoji1] cha kushangaza hata 25% ya Dar haionekani kwenye hiyo picture.
Mbona tulishatupia kitambo tu.We leta facilities za JNIA acha kuongelea petty issues, usikuwe lame
Duh! Yaani linapiga double shift kwa different tasks [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji28] Likitoka kuwauzia maji, jioni linaingia shift ya kuvuta ile kitu nyingine [emoji1] ndio maana cholera haitaisha Nairobi
Inasikitisha sana aisee.Kuna mmoja juzi alisema hata marekani wanaishi ndani ya mabati hivyo wao sio wa kwanza [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ebu picha kama hii ni standards za miji iliyoendelea hata wazungu wenyewe wanalikubali hili eneo.Picha nzuri sana sisi siyo masikini ni matajiri na tungekuwa mbali kama viongozi wetu na utashi wa kufanya kazi kwa speed na kuacha uzembe uzembe na mazoea ya kijinga.
Hivi si ni ndani ya Nairobi aisee? Wasisingizie maji ya mvua hilo ni tope la ubovu wa barabara na kukosekana kwa mitaro ya kuchepusha maji.
😅😅😅😅😅😅Duh! Yaani linapiga double shift kwa different tasks [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Eneo kama hili nafikiri 100% ya wakunya humu ndani ndio itakua mara yao ya kwanza kulionaNdio hapo huwa nawashangaa hawa jamaa na ukiwaelewesha hawaelewi. Kuna maeneo kama Ununio,Boko, Bunju,Goba, Makongo,Tabata,Segerea,Kijichi, Mbezi beach na Mbezi Kimara na maeneo mengine mengi huwa picha zake hazipostiwi wanadhani Kariakoo na Posta na siku hizi wameijua Kijitonyama na Mikocheni ndio Dar tu.
Mimi huwa najivunia sana kuzaliwa Tanzania naona Mungu alitupendelea sana Watanzania nchi yetu ni nzuri mno, maisha yetu ni mazuri mno sijawahi kuregret hata siku moja eti niondoke nikaishi maisha ya nchi nyingine, na sidhani kama itatokea.Wakenya 99 kati ya 100 wangependa kuzaliwa Tz au kama c hivyo wakawe mbwa ulaya kuliko kuzaliwa Kenya na ndiyo maana wako ladhi hata kudandia ndege kuondoka nchini kwao.View attachment 2213147View attachment 2213148View attachment 2213149
Mgao wa maji hapa [emoji16][emoji16][emoji16]
Aiseee! Aiseee! Sasa hivi siwezi kuperuzi huu kama nipo ninakula ninaweza nisiendelee kula. Hili nalo ni janga hili la kitaifa na viongozi wao hata hawalioni nchi ya uchumi wa kati.Kenya ndiyo nchi chafu zaidi Afrika na ya 3 duniani kwa uchafu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2213142View attachment 2213143View attachment 2213144View attachment 2213145