Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umesha wahi kutumia Mitandao yakenya!!?
Kuna utofauti gani ?
Siyo kuwahi kutumia mpaka Sim kadi ninazo
97ab53aa4c3cfc3df9920e470decd123.jpg
7c9c8199b15b2c8dbf15481dfc582303.jpg
 
Lol....wapande pia waende tandale kwa mtogole na mwananyamala kwa kopa uswazini

Sent using Jamii Forums mobile app
ni aibu sana kwa watu wa DC kwenda kujifunza jambo fulani zuri kwa watu LDC....aibu aibu....nakumbuka miaka kadhaa iliyopita wakati tukiwa katika plan ya kujenga BRT,tulituma delegation south america katika nchi za brazil na Mexico.

anyway,karibuni sana LDC,mjisikie mpo nyumbani.
 
What You Need To Know About The New ePassport
. From tomorrow 1st September 2017, all passports to be issued will be ePassports.

. An e-passport is a passport which features microchip technology.

.
ePassport allows information stored on the chip to be verified with the information visually displayed on the passport.

. The e-passport is highly secure, hence avoids passport reproduction and tampering.

. The ePassport enhances imposter detection.

. It facilitates faster clearance of travellers at immigration checks.

. The e-passport is highly secure, hence avoids passport reproduction and tampering.

. The issuance of e-passports will allow Kenya to offer world-class consular services to its nationals.

. Essentially, the requirements for ePassport processing will remain the same as that for the current one.

. Although personal appearance is required for the taking of biometrics (i.e., fingerprints, photo, and signature).

. What if someone has long term visas on current passport?
Those visas will remain valid even after replacement.

. The holders of the current ordinary passports are required to change to the epassport in 2 years time.

. The e-passport can be Used internationally.

. The current ordinary East African passport will be phased out.

. The cost remains the same as the current passport costs.

. Processing period will be 15 working days.

. Requirements remain the same like the current passports.
 
Yeah to see if it can work kwa middle income country kama Kenya
aibu DC kustudy kwa LDC... .

btw hao wakenya kumi mliowatuma waje dar city kujifunza kuhusu BRT,wamekuja tu kutalii na ku-enjoy hali nzuri ya hewa since dar is more attractive and unique than nai-robbery.

ukweli ni kwamba BRT haitakuja fanikiwa nairobi mpaka yesu anarudi na sababu kubwa ni ardhi.
 
aibu DC kustudy kwa LDC... .

btw hao wakenya kumi mliowatuma waje dar city kujifunza kuhusu BRT,wamekuja tu kutalii na ku-enjoy hali nzuri ya hewa since dar is more attractive and unique than nai-robbery.

ukweli ni kwamba BRT haitakuja fanikiwa nairobi mpaka yesu anarudi na sababu kubwa ni ardhi.
Yeah, ata mimi sioni hilo likifanyika. Naona uber ni enough for Kenyans
 
Back
Top Bottom