Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shacks bwana usinipotezee muda

Mbona ushahidi upo, kama just one landlord anakusanya million 4 ksh kwa mwezi kwenye shacks kwanini Nairobi isiwe shacks capital? 🤣

Mitaa ilisafishwa we hauoni? Ama unataka picha ya wapi? Kwani nyumba ikiwa Chafu asubuhi upige picha haiwezi safishwa mchana? Au utakua unatumia the same morning image kukejeli???
 
Mitaa ilisafishwa we hauoni? Ama unataka picha ya wapi? Kwani nyumba ikiwa Chafu asubuhi upige picha haiwezi safishwa mchana? Au utakua unatumia the same morning image kukejeli???
Ingekuwa misafi usingeenda twitter kulia lia.
 
Inasikitisha sana kuwa na Rais asiyekuwa na upeo.
Rais majalala , mjambiani mpumbavu .....chini ya kapeti inasemekana sgr imekwama kufanyiwa majaribio baada ya kugundulika kuwa kichwa cha umeme kilicholetwa ni kibovu kabisa sasa hivi kipo kwenye kalakana ya reli naonq kimeshindikana kutengenezwa hivyo wanataka kuagiza kingine kuna injinia wa sgr yetu kanitonya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…