chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Hata ghorofa zenu nyingi ni slubs tu na beams ndio concrete, partitions ni shacks mwanzo mwisho π€£π€£π€£π€£Very nice house, na hawezi kosa stima kama tangagiza. π€£ π€£ π€£
Ndio mkuu nilitaka kujua, sasa nikwamba ndio itakuwa design ya upande huo? Wacha tusubiri tuone kitatokea nini wakisha maliza kujenga?
Nice clean houses hadi zikona tiles, Dar mkijenga hivi mutachemka mukufe. Nairobi has a cool climate. This is not poverty it's innovation created by necessity.Sasa wakenya mnagonganaje na wake zenu kwenye haya mabati? ππππ
Sababu hapa hamna siri, jirani anasikia kila kitu haki ya nani π€£π€£π€£π€£
Shacks apartments
View attachment 2210449
Nice clean houses hadi zikona tiles, Dar mkijenga hivi mutachemka mukufe. Nairobi has a cool climate. This is not poverty it's innovation created by necessity.
Tanzania ina maeneo kibao yenye baridi kuliko eneo lolote Kenya yote lakini huwezi ona watu wanaishi hiviNice clean houses hadi zikona tiles, Dar mkijenga hivi mutachemka mukufe. Nairobi has a cool climate. This is not poverty it's innovation created by necessity.
Hii Tanzania au ukona version ingine. π€£ π€£Tanzania ina maeneo kibao yenye baridi kuliko eneo lolote Kenya yote lakini huwezi ona watu wanaishi hivi
Hapa ipo wapi? πSi unaona hapa hakuna hata signs za stima. π€£ π€£ π€£
Kumbe ni Tanzania's toilets versus Kenya's shelters, okay πHii Tanzania au ukona versio ingine. π€£ π€£
Choo zinajengwa hiviKumbe ni Tanzania's toilets versus Kenya's shelters, okay π
A road stretch in Mbeya π
Tanzania nyumba ya 50,000 kwa mweziChumba cha 73,000 Tsh kwa mwezi Kenya π³π³π³π³π³
I gave up π²π±π¨π°
View attachment 2210490
Naomba ufafanuzi hapa, kwanini maisha yenu ni ghali sana yet duni mno?