Shida yangu sio kupatikana kenya au wapi we have those animals only in Africa why wazungu wawape majina yao na sisi tukubali tuu. Ndio maana nikasema tutafakari hili kidogo.Hivi vile Simba ana jina la kizungu lion inamaanisha anapatikana England ama unajaribu kusema nini? Ama vile Dar es Salaam ina jina la kiarabu inamaanisha inapatikana uarabuni?[emoji1787][emoji1787]
Mbona wako watu wana bahati nasibu kubwa tuu lakini wako hovyo sana (Congo) Ni mipango sahihi tuu ndio cha msingiYani bahati nasibu ndio unaringa nayo hapa?[emoji1787][emoji1787]
Ndio maana nawaambianga Masomo yenu ni duni. Yani hivi Mtanzania na hujui Dar es Salaam ni Neno la kiarabu?
Majina ya kiafrika pia yapo. Kama huyo duiker anaitwa nunga kwa Kiswahili, kunga marara kwa Kipokomo na ana jina kwa lugha zingine. Huwezi wazuia watu kukuza lugha zao, ni jukumu lako kukuza yako. Hata sisi tuna majina ya wanyama ambao hawapatikani Afrika - mfano, dubu.Shida yangu sio kupatikana kenya au wapi we have those animals only in Africa why wazungu wawape majina yao na sisi tukubali tuu. Ndio maana nikasema tutafakari hili kidogo.
Huwezi ringa juu ya kitu kama hicho. There's a higher probability of someone winning a jackpot than a random person mining a gemstone worth millions of dollars otherwise kila Mtanzania angekua milionea.Mbona wako watu wana bahati nasibu kubwa tuu lakini wako hovyo sana (Congo) Ni mipango sahihi tuu ndio cha msingi
ur people?? ooh boy... i won't surprised if foreign constructors came to build them!Nairobi hosts some very beautiful embassy buildings, our people are very skillful.
Swiss Embassy
French Embassy
Austrian Embassy
Former Australian High Commission
Ujuaji mwingi akili kisoda, Dar es salaam imetokana na maneno ya kiarabu "Bandur al salaam"Ndio maana nawaambianga Masomo yenu ni duni. Yani hivi Mtanzania na hujui Dar es Salaam ni Neno la kiarabu?
Kwa hivo ni la kiarabu ama sii la kiarabu?Ujuaji mwingi akili kisoda, Dar es salaam imetokana na maneno ya kiarabu "Bandur al salaam"
Hakuna lugha inayojitegemea kwa 100%
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Yan bdo unakazania huyo mdudu anapatikana Kenya pekee..? Yupo sehemu kibao mpaka tz yupo[emoji28]Majina ya kiafrika pia yapo. Kama huyo duiker anaitwa nunga kwa Kiswahili, kunga marara kwa Kipokomo na ana jina kwa lugha zingine. Huwezi wazuia watu kukuza lugha zao, ni jukumu lako kukuza yako. Hata sisi tuna majina ya wanyama ambao hawapatikani Afrika - mfano, dubu.
Haya maneno "Meza yangu" ni kireno?Kwa hivo ni la kiarabu ama sii la kiarabu?
I haven't mentioned Blue Duiker anywhere. Mt. Kenya Duiker and Blue Duiker are two different species. Unagoogle majibu na unataka upingane na mtu anajua. Wee ni mtu wa kupuza tu. You're not worth my time.🚮🚮Yan bdo unakazania huyo mdudu anapatikana Kenya pekee..? Yupo sehemu kibao mpaka tz yupo[emoji28]View attachment 2209711
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Unaleta maneno bila ushahid na unataka tukuamini?I haven't mentioned Blue Duiker anywhere. Mt. Kenya Duiker and Blue Duiker are two different species. Unagoogle majibu na unataka upingane na mtu anajua. Wee ni mtu wa kupuza tu. You're not worth my time.[emoji706][emoji706]
Mbona uliyoweka hapa hukusema Nunga ila umeweka majina ya kuzungu ama ni kasumba ndio inakusumbua.Majina ya kiafrika pia yapo. Kama huyo duiker anaitwa nunga kwa Kiswahili, kunga marara kwa Kipokomo na ana jina kwa lugha zingine. Huwezi wazuia watu kukuza lugha zao, ni jukumu lako kukuza yako. Hata sisi tuna majina ya wanyama ambao hawapatikani Afrika - mfano, dubu.
Dar es salaam is synonymous to Jerusalem both mean City of peace, place of peace, haven of peace etc.Kwa hivo ni la kiarabu ama sii la kiarabu?
I had that some Tz ambassadors have their residence in NairobiNairobi hosts some very beautiful embassy buildings, our people are very skillful.
Swiss Embassy
French Embassy
Austrian Embassy
Former Australian High Commission
Endelea kuota.ur people?? ooh boy... i won't surprised if foreign constructors came to build them!
Jinsi ombaomba wenu walivyofata unafuu wa maisha Kenya
Nairobi hosts the most embassies in the region. Other countries in EAC without embassies are represented from Nairobi.I had that some Tz ambassadors have their residence in Nairobi
I have been to the Austrian embassy along Limuru Rd. The level of security there is so highI had that some Tz ambassadors have their residence in Nairobi