What you don't understand is that those projections are from 2022 to 2025. Na hao IMF sio wajinga kujua kwamba by 2025 both EACOP, LNG and Bogamoyo will not be operational. So that's why they didn't include them.Bado Kenya wanacheza na mark ya 30bn to 40bil usd over us..sijajua kwenye hizo.projections kama wali include LNG, Bagamoyo Port , New mining projects na Eacop
Lkn mambo yenu ya uchumi huwa siyaelew.. umeona per capita ya zimbabwe(2300), djibout(3775), namibia(5016) na republic of congo(3242) wamewazid nyie (2251)? Hio ni kweli kuwa uchumi wa mtu mmoja wa hizo nchi ni bora kuliko nyie? Au kuliko Tanzania(1260)Mimi I am happy coz gdp per capita ya Kenya inapanda very fast. Sasa hivi iko $2,200 na nakumbuka by 2013 ilikuwa around $1,200. So in less than 10 years imeongezeka almost double. No other country in Africa, per capita yake imeongezeka faster than ya Kenya in the last 10 years.
Nadhani wataiunganisha mpka itakapo kuwa inafanya kazi, vinginevyo sahii GDP yetu ingesoma around 200+bilBado Kenya wanacheza na mark ya 30bn to 40bil usd over us..sijajua kwenye hizo.projections kama wali include LNG, Bagamoyo Port , New mining projects na Eacop
Utakuwa in three years, hata sisi tulingia 2017 lakin hatukuwekwa mpka 2020, wanafany hivyo ilikuangalia je utaweza kuhimili kubakia humo3yrs realy!.... no..
i think before the close of business later this year, look at their gdp growth
Jackson's Francolin halafu unasema Kenya? 😂Jackson's Francolin - Only found in Kenya and nowhere else
Its trueYou may be right. Although even if Uganda reaches the milestone, it may still take one or two years for imf and WB to confirm the results. They usually don't just rush to graduate a country from ldc to mic. They usually put a country under observation for one or two years before declaring a country an mic.
Kazaliwa Kenya alafu unasema hapatikani Kenya? Tangu lini Maasai Mara ikawa Ruaha. 🤣 🤣 🤣Punda milia kama punda milia 👇huyu alionekana mwenye hifadhi ya taifa ruahaView attachment 2209407View attachment 2209408albino zebra 👇View attachment 2209409. The best 007 tell them bro
Wacha kiherehere projection ni ya mpka 2027What you don't understand is that those projections are from 2022 to 2025. Na hao IMF sio wajinga kujua kwamba by 2025 both EACOP, LNG and Bogamoyo will not be operational. So that's why they didn't include them.
Ile siku nilisikia pesa ya Mo inagawanywa kwa Watz wote ndiyo unapata per Capita hapo hapo nikaachana na habari za per Capita income.Lkn mambo yenu ya uchumi huwa siyaelew.. umeona per capita ya zimbabwe(2300), djibout(3775), namibia(5016) na republic of congo(3242) wamewazid nyie (2251)? Hio ni kweli kuwa uchumi wa mtu mmoja wa hizo nchi ni bora kuliko nyie? Au kuliko Tanzania(1260)
Naelewa kuwa per capita ni GDP per population.. lkn kusema per capita ni unafuu/utajir/uchumi wa mwananch mmoja mmoja ni kujidanganya..haina uhalisia
Nimewala sn hawa kuku pori kule kijijini, hakuna mnyama au ndege huko Kenya asiwepo Tz ila kuna wanyama wapo Tz huwezi kuwapata dunia nzima.Jackson's Francolin - Only found in Kenya and nowhere else
Tusiende mbali tunaanza na sokweKazaliwa Kenya alafu unasema hapatikani Kenya? Tangu lini Maasai Mara ikawa Ruaha. 🤣 🤣 🤣
Rare Zebra Foal With Polka Dots Spotted In Kenya
A rare newborn zebra foal with polka-dots instead of stripes has been photographed in the Maasai Mara National Reserve in Kenyawww.forbes.com
View attachment 2209482
Alafu albino zebra is not a different species. It's simply a zebra with a mutation. Tuwekee species ambazo ziko Tanzania na haziko Kenya kama ninavofanya.
Ndio mana huwa wanasema GDP mda mwingine sio sahihi kutumia kujua uchumi wa mwananchi wa kawaida, ni sawa na kuchukua pesa ya mo igawanywe kwa wana nchi wengineLkn mambo yenu ya uchumi huwa siyaelew.. umeona per capita ya zimbabwe(2300), djibout(3775), namibia(5016) na republic of congo(3242) wamewazid nyie (2251)? Hio ni kweli kuwa uchumi wa mtu mmoja wa hizo nchi ni bora kuliko nyie? Au kuliko Tanzania(1260)
Naelewa kuwa per capita ni GDP per population.. lkn kusema per capita ni unafuu/utajir/uchumi wa mwananch mmoja mmoja ni kujidanganya..haina uhalisia
Heeheee - ila sokwe ipo kwa nchi nyingi tu na haipo Tanzania kwa wingi vile. Zipo sana DRC, Uganda, Rwanda, Congo, Cameroon, Burundi na Gabon. Tanzania ni kidogo tu na hata kenya zipo kwa conservatives. Nenda mahali panaitwa Kenya Sweetwaters Sanctuary utawaona.Tusiende mbali tunaanza na sokwe
Hahaha. The best 007 Nimecheka kweli.Ile siku nilisikia pesa ya Mo inagawanywa kwa Watz wote ndiyo unapata per Capita hapo hapo nikaachana na habari za per Capita income.