Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti Arusha, huna hata aibu. 🤣 🤣 🤣 🤣 Nairobi ishakua Arusha. Huna hata aibu. This is part of Nairobi Industrial area along Mombasa Road where big things happen.

Anaweka picha za Nairobi akiclaim ni za Arusha😂😂🤣
 
Baadaye walivyobanwa mbavu kuhusu mlima wakasema walimaanisha kuwa ukitaka kuona mlima Kilimanjaro njoo Kenya.Uongo uongo tu mwingi kwenye vinywa vyao.
 
Siku zote mtu asiyekuwa na uhakika wa maisha yake huishi kwa matumaini. Hawa wakaskazini wanaishi maisha hayo ya kujipa matumaini kwa vitu ambavyo haviwezekani. South Africa na Egypt wako juu kwa miundombinu ya barabara.
 
Nonsense, We hapo unaona level gani?huwezi hama jamii forum wewe
Ahame Jamii forums alafu atajiliwaza na nn, demu hana, kazi hana atafanya kitu gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Who told you A380 can't land in JKIA?
Hebu onesha iki land hapo kwa hyo shit hole airport [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hebu onesha iki land hapo kwa hyo shit hole airport [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nenda ukacharge torch wewe😂😂😂
 
You are too desperate hadi unapost renders. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Fikeni hii level kwanza muwache kua na ndege mbili kwa airport. Oooohhh hamna parking za ndege by the way. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ulivyo mpumbavu ukaona uweke picha ya ndege zilizosababishiwa delay kutokana na airport yenu chakavu kufungwa kutokana na matengenezo ya kila siku. Wakunya mnapenda sifa za kipuuzi na kujipiga kifua kwa kitu ambacho hamna ******* nyie.


Find similar images using
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…