Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

but swali la maana kwangu ni....... how many lanes on average.?? coz kama sio atleast 6 hakuna kitu tunaongea
Ni wapi kuja muongozo ya kwamba highway lazima iwe 6lanes?
 
Kenya ndio ilianzisha tech scene ya Africa. Sasa kajinyongeni.
 
Burna Boy ameperform kwa sold out Madison Square Garden huko USA. Halafu malazy walikuwa wanashindana na Nigerians kwenye mziki. Wanadhani Konde Boy na yule womanizer jina nimesahau lakini inaanza na D wanaweza kushindana na Nigerians??

Mtu ambae BET wanamtambua kama best hadi anakua Nominated along with Nigerians Who are you not to appreciate his hustle?umeanza kujifunza uchawi lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…