Unataja Kabila kwa nini? Huyo muda wake ulikwisha zamani. Tangu Tshisekedi aingie madarakani, DR Congo imekuwa inajishughulisha na Kenya kuenda mbele.Hivi mwenyekiti wa EAC kwasasa ni nani?, hebu jaribu kufuatilia kipindi cha Joseph Kabila (DRC haijajiunga na EAC), mara ngapi alitembelea Kenya na mara ngapi alitembelea Tanzania
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yes,:Sasa Tanganyika ya ujamaa ni nchi ya kuiga kwa lolote!? Sema exposure yako ndio iko chini bongolala. You think life revolves around Tanganyika alone. This is a tradition that happens in many countries around the world. Nelson Mandela was treated the same way by South Africans when he died. Sasa na wao pia mliwaiga?
View attachment 2205604View attachment 2205605View attachment 2205606
Hii kasumba ya inferiority complex sijui itawatoka lini!
Umesahau poverty.Yes,:
1)Peace
2)Unity
3)Upendo
4)Political stability
5)No Tribalism
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwasababu ndio kipindi ambacho DRC inajiunga na EAC, lazima Tchisekedi awe karibu na mwenyekiti wa EAC.Unataja Kabila kwa nini? Huyo muda wake ulikwisha zamani. Tangu Tshisekedi aingie madarakani, DR Congo imekuwa inajishughulisha na Kenya kuenda mbele.
Nyeri hakuna airport? Au ni mwendelezo kuiga Tanzania tu kisa Magufuli akipelekwa kwao kutoka Mwanza 455km mpaka Chato basi na ninyi mnataka msipitwe, mpaka lini mtaanza kutumia akili zenu?
Hujui style ya wanaomiliki Nairobi na Kenya? 😂😂😂Mimi sio mkomunisti kama wewe kwa hivyo sijui style ya China ni ipi. Ndio maana nimekuambia unieleze kwa undani tumewaiga nyie Watanzania kwa lipi.
Yaani Kenya inatutambia DRC? 😂😂😂 Our immediate neighbor? Wewe akili mbili kweli ni sawa na Tanzania kuitambia kunyaland Sudan, wacongo wapo kariakoo in thousands wanafunga mizigo kuelekea kwao in daily basisUnataja Kabila kwa nini? Huyo muda wake ulikwisha zamani. Tangu Tshisekedi aingie madarakani, DR Congo imekuwa inajishughulisha na Kenya kuenda mbele.
Thank you kwa kunikumbushaUmesahau poverty.
Na wewe ukafuata mkumbo.Ni wenzenu ndio wameanza mabishano za kijinga
Bado hatujawapita kwenye mahusiano na Congo ila tutakuja kuwapita soon.Yaani Kenya inatutambia DRC? 😂😂😂 Our immediate neighbor? Wewe akili mbili kweli ni sawa na Tanzania kuitambia kunyaland Sudan, wacongo wapo kariakoo in thousands wanafunga mizigo kuelekea kwao in daily basis
Kama mlishindwa kumuelewa Nyerere, the most Pan- Africanist person, Kenya haiwezi Kamwe kuelewana na nchi yoyote, mtazozana na majirani wenu wote.Malazy wanachukia Kenya lakini nchi hizi mbili zimekuwa pamoja kuanzia zamani.
View attachment 2205691
View attachment 2205694
EAC ilivunjika kwa sababu ya migogoro na vita kati ya Tanzania na Uganda. Tanzania ndio ilishindwa kuelewana na Uganda.Kama mlishindwa kumuelewa Nyerere, the most Pan- Africanist person, Kenya haiwezi Kamwe kuelewana na nchi yoyote, mtazozana na majirani wenu wote.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Suit yourself bongolalaHayo mazishi ya Mandela ni tofauti na mazishi ya viongozi wetu, angalia style yake ni tofauti, ila mazishi ya Kibaki mmetuiga kabisa hilo halipingiki.
Inferiority complex at play. Yani they think life begins and ends in TanganyikaHakuna kitu kinaudhi kama malazy kufikiria kwamba kila kitu kinachofanyika Kenya kimeigwa kutokwa kwao. Tabia ya kipuuzi sana.
Yaani Kenya inatutambia DRC? 😂😂😂 Our immediate neighbor? Wewe akili mbili kweli ni sawa na Tanzania kuitambia kunyaland Sudan, wacongo wapo kariakoo in thousands wanafunga mizigo kuelekea kwao in daily basis
Nimefuata mkumbo gani? Mimi na wenzetu tumekuwa tukiweka hizi picha hapa tangu jana. Wenzenu wakaanza mabishano eti tumewaigaNa wewe ukafuata mkumbo.
Come on Kibaki ameenda, Magufuli alienda Moi alienda, Mkapa alienda na wengine wataenda