babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,450
- 36,092
Anayeshobokea mwenzie ni nani kati ya Ke na Tz? Sisi tulitangaza national day of mourning kwa sababu Magufuli alikuwa rais madarakani alipofariki. Nyie nanyi kwa kutuheshimu sana mnadeclrare maombolezi kwa jamaa ambaye sio rais, yaani ameshastaafu. Sasa nani anamshobokea mwenzie?
Nibora uishi kwenye giza kuliko kuishi bila kujua kesho kama utamaliza kwa kupata hata kijiko cha kande[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]#hunger nationWewe hakuna place unajua Nairobi apart from Kibera. Na kibera ikona stima, Dar munaishi kwa giza.
Yote haya umetaka wewe, nilikuuliza kwanini mnaishi kwenye bati hivi? Full suitOver 80% ya Dar iko hivyo, kama mulibimoa basi jiji limebaki kiwanja. 🤣 🤣 Muna stima kweli?
Hamna stima munaishi kwa giza kama tumbili kwa msitu. 🤣 🤣 🤣 🤣
Alikuw anajaribu kujitoa ufaham,
Memory yao ndogo kama ya samaki 🤣
Na Samia mnamchukia? 😅😅😅Kati ya Samia na Ramaphosa nani ana uzito zaidi? Heri rais wa SA siku zote kushinda rais wa Republic of Lazyland.
Alikuw anajaribu kujitoa ufaham,
Memory yao ndogo kama ya samaki [emoji1787]
Nampenda Samia lakini Ramaphosa ana uzito zaidi kwa maana anatokea nchi nzito ya South Afrika.Na Samia mnamchukia? 😅😅😅
Leo kawa hana maana wakati ulisema ndio restorer wa mahusiano yaliyoharibiwa na Magufuli?
Nilishaiangalia yote hii, anaonekana baba na wanae wanavyopitia shuruba za slums, inasikitisha kiukweliAngalia hii video kuanzia dakika ya pili.
Ebu tuonyeshe picha ya same place after ishabomolewa😂Unaonesha nyumba za jangwani zilishabomolewa kitambo, pole
Duh so specious bathrooms, Nairobi ni mwendo wa flying toilets tu🤣 🤣 🤣 🤣 Hua munaoga mvua ikiyesha. chongchung tabia ya kuchungulia wamama uchi ujue ni laana.
View attachment 2204797