Wewe hakuna place unajua Nairobi apart from Kibera. Na kibera ikona stima, Dar munaishi kwa giza.Yeah ipo CBD kabsa, Kibera wanaishi watu million 2, estates zenu zote hata watu laki 3 hawafiki so yes Kibera na slums nyingine ndizo zenye wakazi wengi
Nyayo estate ndio estate kubwa yenye nyumba 4500 let's assume each house live 10 people, bado ni 45k while Nairobi ni 6 million slum place so definitely slummers are majority
Hata wa KarenJust a confirmation, maskini wa kibera anaishi maisha sawa na over 80% of Dar's residents.
Hivi ni vitu gani kama sio bati? Please stop baking yourselvesWewe umeishiwa. Wapi nyumba ya bati hapo bongolala? Ama umekosa jibu kwa hiyo barabara ukaona utafute visingizio? Jipe shuguli nanii...
Hakuna poles za stima so obviously hawana stima. Wanatumia mishumaa.Nani amewai ona picha ya hizi mitaa za Dar usiku? Nikama hawana stima. 🤣 🤣 🤣
Na flying toilets without using runway, just autopilotMaskini wa Kibera anatumia LPG kupika, maskini wa Kibera has electricity in his/her house 24/7.
Yes pleaseKibera ipo cbd?
Is it a lie?I have asked you to back up your claims bongolala. Usiwe boya saa zote
Makasiriko peleka ushagoo[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Niliwapa ombaomba wenu waliovamia mitaa zetu kama nzige na bakuli mikononi
Woow slums like airKibera ni CBD? For me I can confidently post this current picture of Dar is slum and claim it's the CBD.
View attachment 2204742
Kibera kuna stima, hizi picha zako zimepitwa na wakati. Dar 80% haina stima.Hivi ni vitu gani kama sio bati? Please stop baking yourselves
View attachment 2204747
View attachment 2204748
View attachment 2204749
View attachment 2204750
Wewe chongchung ni Mkenya mgani alikutia mimba? Mtaje tuende tumpige. Mbona una machungu na Kenya hivi?Woow slums like air
Everywhere
View attachment 2204754
View attachment 2204755
View attachment 2204756
Samia mama yenu hajaja?Cyril Ramaphosa anazungumza saa hii kwenye mazishi.
Kati ya Samia na Ramaphosa nani ana uzito zaidi? Heri rais wa SA siku zote kushinda rais wa Republic of Lazyland.Samia mama yenu hajaja?
Angekuepo Magufuli mngelia zaidi
Unaonesha nyumba za jangwani zilishabomolewa kitambo, poleHizi choo na bafu zenu bila roof na mlango hunimaliza walai. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Over 80% ya Dar iko hivyo, kama mulibimoa basi jiji limebaki kiwanja. 🤣 🤣 Muna stima kweli?Unaonesha nyumba za jangwani zilishabomolewa kitambo, pole
Vibiriti vilivyo jaa huwa havitikiswi bwana mdgoDar still has a long way to go View attachment 2204743
Dah aiseeKibera kuna stima, hizi picha zako zimepitwa na wakati. Dar 80% haina stima.