Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hata akilipwa hivyo bado atanunua 1lt ya maji kwa 4000 huku mtanzania ananunua kwa 300 tumia akili huu ni mfano mdogo tu

View attachment 2203434

View attachment 2203436
Usilazimishe bei ya brand moja kama ndio jumla, kumbuka haibadilishi ukweli, bado mko hovyo., taifa fukara vitu pia huwa cheap sana, la sivyo mtakufa nyote ama mtaihama nchi ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
 
Umepigia mbuzi guitar walai๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Wahabeshi wako zaidi ya 100M Watz 60M apo kwa akili yako nani anahela?
Yote tisa,kumi tupo kwenye list.
Umelia sana... Nigeria pia iko na population ya over 200 million and Egypt has a population of over 100m which is more than double that of Kenya, tukitumia reasoning yako basi Kenya comes 2nd after South Africa, unakubali hayo? I highly doubt
 
Dodoma tunaleta Porsche, Rolls Royce na Lamborghinis. Hao nyie ishini nao tu [emoji4][emoji4][emoji4]

Mpaka sasa tunao HOWO na YUTONG
 

Endelea kuota huku ndege zikitua mara tatu kwa wiki Geita airport (Chato)

Yaani tuombe tuwe na rais aliyekuwa moja ya sababu wakunya mchinjane maelfu! [emoji23][emoji23][emoji23]

 
Morocco wako 30M wanaomatajiri 5000 hamuwezi kua wapili kwa namna yoyote ile
Sometimes simple maths can help in solving some of these stupid argument.

30M of Morroco = 5,000

What if they were to be 47M which is the population of Kenya?

The answer will be

(47ร—5,000)รท30
= 7,800 millionaires.
Remember Kenya at 47M has 8,500 millionaires.
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
kwamba idadi ya matajir inapatikana kwa hesabu za cross multiplication [emoji23][emoji23][emoji1787] oneni chokoraa huyu [emoji3516]
 
Iyo njia inatokea kwa flyover wacha uongo
please footpath na barabara hazina uhusiano, so hii barabara inatokea wapi from flyover. nb: this is a very independent 12lane stretch, extending many kilometres

here from Google Street View, i've taken 3snapshots at 0ยฐ-180ยฐ turn. heb niambia connection gani na footpath๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ


nyamasaria highway kisumu, ni pana shinda kimara-kibaha, the widest in whole of tanzania



kimara kihaba "superhighway" ๐Ÿ˜†
๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ๐Ÿ‘‡๐Ÿฝ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ