Mkona Governor na mawaziri kwa hizo local government? Show us the executive tuone.Unajitoa ufahamu kama kawaida yenu?
Mwenzako nimempiga na kitu kizito kichwani tayari
Uliyoyaulizia hayo hapo!
View attachment 2201422
View attachment 2201423
View attachment 2201424
View attachment 2201425
Mkuu nipo hapa Tabora,next time ukija nikupeleke kwenye hotel za hatari ziko nje mji zimejificha.To be honest am shocked, japo nimepita sana Tabora na kukaa kwenye lodges kwa siku chache lakini sikuwahi kuthani kama Tabora is this way developed
Nilishangaa Mwanri kipindi kile alipokua anasema anataka Tabora iwe kama Toronto 😂 surely it's somehow Toronto to be honest 😅
Kuna kipindi Wakunya walikua wananiambia niwaoneshe barabara ya lami Tabora 😆 then paaap video hii hapa
Hii video ni ya dakika nyingi sana kuzunguka Tabora lakini yote inaonesha lami tu, mwanzo wa video it's kind uswazi lakini kuwa mvumilivu
Ukiondoa Nairobi hakuna mji wenye mtandao mkubwa wa lami Kenya kuizidi Tabora Tony254 utanisaidia
Hakuna mtu wa Tabora ataenda Karen au west kushangaa neighborhood zao sababu Tabora got them and decent streets beautifully modern and stylish than those of Nairobi posh areas NairobiWalker na Nicxie mna la kujifunza Tabora
Sasa ni nini umejibu hapo? Ama because nimekuuliza budgets za hizo regions ndio maana unarusha matusi kama mchawi hivo?😂😂You are either stupid or ignorant but better be ignorant because once informed you change but if you are stupid you are just a stupid you can never change that cause stupidity ni kama kipaji tuu hakibadiliki for instance you can either be short or tall and there is nothing you can do to change that.
Hatuhitaji cabinet local assemblies wanatosha kupitisha na kusimamia budgetsHawana hata Cabinet kwa hizo baraza. Lazima wapangwe na Central Government.
Show us those assemblies, we want to see them.Hatuhitaji cabinet local assemblies wanatosha kupitisha na kusimamia budgets
Hawana powers, that's the word, munategemea serikali kuu.Hatuhitaji cabinet local assemblies wanatosha kupitisha na kusimamia budgets
AfghanistanKariakoo, the real meaning of concrete jungleView attachment 2201392View attachment 2201394
🤣🤣🤣🤣 Halafu mnatucheka sisi?Our local governments do not receive any directives from the central government. What they receive from the central government is monetary funding alone.
Wacha uongo you rely heavily on National Government funding. Rural municipalities watatoa pesa wapi na tozo ya peni mbili.🤣🤣🤣🤣 Halafu mnatucheka sisi?
Tanzania mpaka pesa za projects ni za local governments from local sources, sasa mtatuambia nini?
No wonder mko impoverished🤣🤣🤣🤣 Halafu mnatucheka sisi?
Tanzania mpaka pesa za projects ni za local governments from local sources, sasa mtatuambia nini?
Asante sana mkuu, nikija tena 'matoborwa' nitafanya kukustua mkuu, Tabora tamu sana asikuambie mtu, hali yake ya hewa na pembezoni pametulia mno, last time nilitambulishwa kwa chakula flani maarufu huko kinaitwa 'abuja' kama sikosei ni mchanganyiko wa kuku na ingredients flani hivi tamu sana, Tabora maisha matamu mno na nafuu sana.Mkuu nipo hapa Tabora,next time ukija nikupeleke kwenye hotel za hatari ziko nje mji zimejificha.
Sources za local governmentsWacha uongo you rely heavily on National Government funding. Rural municipalities watatoa pesa wapi na tozo ya peni mbili.
Local government revenues in Tanzania
Halmashauri zetu zipo kwenye mambo ya maana zaidi hasa kwenye mambo ya afya ndio maana Tanzania ni safi na hakuna mgonjwa ya ajabu ajabu kama huko kwenuCounty Police Cars. Devolution ya bongo hebu tuone hizo gari zenu za police wa local government.🤣🤣
Ya mwaka gani hii?Local government revenues in Tanzania
The total amount of local government revenues has increased substantially since 2002, primarily driven by growth in intergovernmental transfers. Government transfers/grants account for nearly 90 percent of local government revenues.
Hizo zote umetaja only account for 10% only.
Hujajibu swali langu hata moja. Ulichofanya ni kunionyesha majumba ya halmashauri ya manispaa ambayo hata sisi yalikuwepo before devolution. What we used to call LOCAL AUTHORITIES.Unajitoa ufahamu kama kawaida yenu?
Mwenzako nimempiga na kitu kizito kichwani tayari
Uliyoyaulizia hayo hapo!
View attachment 2201422
View attachment 2201423
View attachment 2201424
View attachment 2201425
Chinese culture, in a mongas country