Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Inauma lakini vumilia, Dar tunaijua 90% ilivyo.., yaani tufunzeni Kiswahili tu, otherwise u have nothing to tell us, #Google_earth[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Google earth unaipenda lakini inakuumbua, 75% sijui 80% ya watu wa Nairobi hawawezi kutosha kwenye haka kaeneo kama mnavyodai..

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Pia utatuambia Luxury cars na zile tuktuk na probox ni za bei moja Tanzania kwa sababu "we donti havu and neva embresi social classes" [emoji28]
Tofautisha Kati yà mahitaji ya msingi(basic needs), na mahitaji ya ziada. Hilo ndio tatizo lenu kutojua Mambo ya msingi badala yake yote mnayaweka na kuyapa umuhimu sawasawa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
We don't know the problems facing Kenya through Kenyans, we know most of you have low IQ therefore not trusted, when know those problems through international credible sources like WB, IMF, CNN, Aljazeera and Transparence International [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 

Summed perfectly by this tweet.
 
Bana, huyu hakuna Nairobi anajua. Anadhani Embakassi pekee ndio kuna ghorofa za residential Nairobi. [emoji1787] [emoji1787]
Me nmeweka kitu mnachopost kila siku hpa mkisema majority mnaishi.. sasa wew lete Raman inayoonyesha Eastland na sio kubishana tu kama kijiweni

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…