Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Juzi nilikuepo hapo kwenye hiyo stend ya btr hapo kijitonyama nikajionea maajabu,eti hua mnasema dar hukuna vyumba mabati?nilishanga kuona hapo kando ya hiyo stend kuna mabanda yaliojengwa na mabati yaliochakaa

Fafanua kidogo hapo penye blue.
Btr au brt. Na kama ni brt utakuwa ni muongo wa karne maana kijitonyama hakuna brt
 
Na mkenya mzee wa kupika data yani munapika mpaka uchumi wenu sijui munamdanganya nani hapo😀😀😀😀😀😀
kwa hiyo sasa World Bank na IMF ni za wakenya..lol! sababu mi najua ni World Bank na IMF ndio wameweka hizo figures za uchumi wa kenya...huna hoja ww..
endelea kulia lia ila soma leboo...yaani a gap of 20 billion now...inabidi muungane na UG ndio mtufikie....GDP of Kenya ni tanzania GDP plus Uganda GDP combined...lol!! no wonder we are EA most advanced country...


 
Juzi nilikuepo hapo kwenye hiyo stend ya btr hapo kijitonyama nikajionea maajabu,eti hua mnasema dar hukuna vyumba mabati?nilishanga kuona hapo kando ya hiyo stend kuna mabanda yaliojengwa na mabati yaliochakaa


wanadhani hatujui hiyo nchi yao....Hahaha
 




Tanzanians always in denial hahaha. ......
 
Tanzanians always in denial hahaha. ......
true...these dudes huwa wanashangaza...yaani wanabishana na kitu iko very clear...they are blinded by patriotism...loving their country so much they dont see that it is nowhere near Kenya...
 
Hahahah eti 70 ***** unafkiri 70 mchezo
😀😀😀😀😀😀
Mm mbongo sio mnigeria ndugu
Tafuta proper data alaf uje kabla mm sijakutaftia
 
Eti brt i thought it was something special,nilisimama hadi nikachoka nikigoja basi
 
Kitu cha ajabu hizo vitu wanaita stend hazina viti za abiria kukalia akingoja busi,afadhali hizi bus stop za kwetu sababu zinaviti
Unaandika hii comment kutokea kwenye banda lako la bati hapo mathare kama kuku wa broiler umeshashiba chai na mkate kama permanent supper na maji machafu lita 7.

Unasema brt hazina viti? Dar hujawahi fika wala hupajui najua it's in your dream but just keep on dreaming you won't afford this life of Dar sio kama hiyo slum yenu ya dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…