Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu uchumi wa kenya usioweza jenga 1 km ya sgr tena ya diesel . Uchumi hewa
 
Na ule mradi mkubwa wa gesi haujaanza kutekelezeka (LNG).
 
Sasa gas mask ni ya nini kwenye parade? Waafrika tuna ushamba sana πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜‚
View attachment 2195360

Halafu wamesahau kuweka yule wa kubeba sufuria πŸ˜‚ πŸ˜…

Hayo ni maonyesho ya zana za kivita za jwtz ndio maana wengine wamebeba mijegeja wengine wamevaa kofia wengine wamevaa mask yani pointi yao ni kuwa kuwaonyesha watu zana mbali mbali za kivita sio kutembea tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…